Wanawake wenye Hips wanatesa kwa mengi

Wanawake wenye Hips wanatesa kwa mengi

Huo utafiti wako bana, sasa umesema wanatembea kwa maringo ndio maana hawana haraka, ukaja tena kusema wanatembea polepole kuepuka msuguano....which is which ?

Na hilo la fungus inategemea matunzo, ukiwa nayo tafuta ushauri wa jinsi ya kubaki salama....ni sawa na kuwashauri watu wanyoe vipara kwa kuwa eti ukiwa na nywele ndefu utasumbuliwa na mba.
 
Hivi nahodha wa meli anaweza akawa anaendesha meli huku jicho lipo nchi kavu???

Achilia mbali nahodha daladala.zetu ziko resi kweli unamuonaje wa pembeni labda apande akae mbele

Uzur wa mwanamke n umbo???? Vimbau vimbau wasingeolewa kabisa


.hahahaha alafu mamafacebook ule wimbo wa nahodha wa ki mombasa unaufahamu?
 
Last edited by a moderator:
Bado thread za makalio tunazibiri.... Loading error
 
hawana mvuto wa kufanya mapenzi wengine wavivu sana kitandani
 
mkuu ukitoka huko uanze uchunguzi kwa wanaume wenye hipsi....
maana siku hizi nao wapo....
 
Ni kweli wanawatesa hata wanawake wenzao,mtazame bi-dada mwenye nguo black mwenye shepu kama pira la kunyonyea nya anavomtazama Amber kwa uchungu mkali.
View attachment 193043

Sijamuona huyo mwenye nyeusi, oooh, unamaanisha huyo nyuma, huyu mwenye nyekundu, mungu mkubwa. Perfect shape, alafu mimi nina ugonjwa wa mwanamke akiwa na miguu ambayo ina matege ya mbaaaaali, yaani bow legs, wananiua kabisa. Sasa huyo mwenye nyekundu awe na bow legs kidogo. Bhaaaaaass!
 
Back
Top Bottom