Wana JF,
Wanawake wengi wenye hips , ni wanawake ambao si kwa mwanaume tu hata
kwa wanawake wenzie husifia kuwa fulani kajaliwa, ki maumbile, ni kweli
wana mvuto wa pekee, humwagiwa sifa nyingi za urembo, lakini pia kwa
upande mwingine wa shillingi ni matatizo tupu.
Sifa:-
1. Huwatesa sana wakina baba wanapokuwa katika vyombo vya usafiri kama
daladala, treni, meli na ngalawa, mababa wengi hujawa na hisia kali za
mahaba kiasi kwamba hupata mfadhaiko.
2. Hawana haraka sana kwani mwendo wao, hutembea kwa maringo, hata
daladala likisimamia mbali hawawezi kukimbia kuwahi.
3. Hutongozwa wanaume watano kwa siku, hata wanaume wasiposema kitu
angalau ukonyeza.
4. Ni wasikivu sana wakati wa kudate maana wengi ni warefu hupenda sana
kukuinamia kusikia zaidi uliongealo.
Matatizo.
1. Kwa kuwa huwa wanavutia sana ni rahisi kurubuniwa kwani mwanamke
yeyote duniani hawezi kutongozwa watu elfu 2000 asimpende mmojawapo.
2. Hawana raha kwani ukodolewa sana macho na watu, si wanawake wala
wanaume.
3. Upata magonjwa sana asa fungus kwani sehemu zao za siri hazipati hewa
ya kutosha kufatana na kubanana kwa nyama na msuguano kila watembeapo.
4. Wana gharama sana kuwatunza kwa sababu hawatakiwi kutembea kwa muda
mrefu kuogopa msuguana hivyo umuoapo ni lazima ughalimike usafiri au
unatakiwa kumunulia skin taiti kila mara kwa kuwa zinahariibika muda
mfupi sehemu ya mapaja.