Hatuwanyanyasi tunasema tuonavyo sisi watumiaji, kama uamini, tembea na yule aliyejariliwa, hata kama unamzidi kiface, kaa karibu na barabara wote mkipewa lift wa kwanza kuongeleshwa atakuwa mwenye hips bila kujali sura, waswahili wanasema mwanamke hips na ---- sura hata mbuzi anayo!!!
najiona ndio, mi niko naangalia pasi yangu kwa kioo hapa. najikubali bhana. miss chagga njoo huku mae
![]()
Ha, anajishika mwenyewe
Ha ha ha ni shiiider na flat screen
Ni raha na flat screen kitu flexible kitu movable siyo hips kitu rigid
Wewe mchokozi, aiseeHili ni tpf tower
Kwa wanaotumia wassapp kunagrop la malavidavi weka namba niku add.
Wewe mchokozi, aisee
Ha ha maneno ya kujifariji tu hayo
Team Flat screen bado, mpaka uwawekee mito maana wanaumiza sana , alafu tu papuki kama mdoli, tunataka ukiona uzani wa nusu kilo mzuka ndio unapanda zaidi sio wakutafuta kwa tochi.
muzee ya bunju umeniacha hoi, sura hata ,mbuzi anayo?ee h eh eh.... mbona miss chagga yuko poa sura na uku chini si haba analea, sisi tunapenda ivo...
oyeeeeeeeeeeeeeeeeee... na watuache na shape zetu za kichaga mae
Daah hata mm napenda sana utege ila usizidiSijamuona huyo mwenye nyeusi, oooh, unamaanisha huyo nyuma, huyu mwenye nyekundu, mungu mkubwa. Perfect shape, alafu mimi nina ugonjwa wa mwanamke akiwa na miguu ambayo ina matege ya mbaaaaali, yaani bow legs, wananiua kabisa. Sasa huyo mwenye nyekundu awe na bow legs kidogo. Bhaaaaaass!