Wanawake wenye akili/smart mnawapata wapi?

Mwanamke hata hajui namba ya dharura ya Tanesco/fire/polisi, etc likitokea tatizo, anakupigie simu kukuuliza afanyaje,badala kupiga fire.
Mtoto anacheza barabarani anaishia kusema "nitakusemea kwa baba ako wewe".
 
Jf kuna wadada smart sana Ila wengi wapo hapa si kuonesha usmart wao bali ni sehemu ya Ku relax

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
 
Jitafakari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…