Wanawake wenye akili/smart mnawapata wapi?

Jinsia ya kike niliyowahi kukutana nayo ikiwa very intelligent kila idara hapa naogopa hata kutaja yuko kidato gani. Yule dogo ana akili za dunia nyingine, kuanzia class anavunja mpaka anaenda competition kadhaa za kitaifa. Ukija nje ana akili zaidi ya za class. Nilikuwa namchallenge sana na maswali magumu anaonesha uwezo mkubwa wa kutafsiri na kuelewa haraka sana. Kitu cha ajabu alikuwa anatafsiri ninachofikiria, hii sijui ni imani yake maana ni dini flani very rare. Wengine wote hata awe na degree, mkubwa ama mdogo nawaweka chini ya yule dogo. Ananiita kaka[emoji53][emoji53]
 
huyo wako huyo
we pambana kumwelewesha maisha jinsi yalivyo
 
Sjui kama unajua kila mfuniko unafunika kopo lake mtoa mada?? Uwezi kuchukua kisoda ukafunika kopo la toss.......
๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘ You're smart enough to philosophise
 
Smart kitu gani
Msingi ni sura na chura

Akili atatumia zako tabia utairekebisha taratibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ