[emoji3][emoji3]aje kwetu no chura,no shape, ila akili kubwazzzzKama unapenda sana chura hilo nalo ni tatizo,.
Woiiii[emoji3][emoji3]aje kwetu no chura,no shape, ila akili kubwazzzz
tunaomba majibu ya maswali hayoDah kwel inabd nbadlke il niktane nao
Aisee sasa mbona tafiti zinasema wenye 'chura' ndio huzaa watoto wenye IQ kubwa.Kama unapenda sana chura hilo nalo ni tatizo,.
Wacha weeh, sasa mbona michepuko yangu ya 20 & 23 ina ushauri wa maana kwelikweli.Kama uko na vitoto vya 20,22,23... Sahau akushauri mambo ya maana
Kuna wenye vyote hivyo lakini bado wanaambulia wanawake pasua kichwa.Kuna maswali mengi inabidi uyajibu
1. Your neighborhood
2. Elimu yako
3. Kazi yako, Lawyer hawezi kuwa sawa na bodaboda ofcourse.
4.Kipato chako kitakuruhusu utembelee sehemu fulanifulani hivi wanapopatikana wa aina fulanifulani
5.Hobbies ulizonazo, mfano kutembelea Museums, Libraries, exhibitions fulani fulani, michezo ya aina fulani ni tofauti na mtu mwenye hobby ya kuangalia tu mpira nyumbani au movie au kupiga tu stories vijiweni.
6.Sehemu pia za Ibada, ( most of time si mara zote) utakutana na watu wanaojitambua.
Na kadhalika nyingine watusaidie wengine