Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 77,091
- 165,247
Ataliwa mtu na jini ohoooooSio tabia nzuri mtoto wa kike kushobokeaa mwanaume hata haumjuiiiii bora hataa kama mnaonana face to face
Ankal hivi hapa nilipo naweza kwenda kuwa sista?
Hata humu wamo wanajifanya wameolewaa lakin malayaa tu
umesema kweli bidada, kuna siku tulikwaruzana na MR sikupata usingizi nikachukua cm yake nikaingia jf nadhani alisahau ku log out,aisee nikawa nasoma PM zake nilichoka yani wale mastaa wa jf wanajilengesha rahisi huwa nikisoma coment zao naishia kucheka!
Mi hua nawapimiaa tuu halaf mtu anakusemaa Pm yaan hajuii kama unamchoraa ,kujipendekeza kwa wanaumee wa watu lakin hapa wapo kimyaaa hahhhhhhahhhhahhhahhha
Ataliwa mtu na jini ohooooo
zani kila id inamilikiwa na mtu
yap! Hebu dadavua ni nan huyo anayevizia vya wenzake?? Teh teh teh!
Haya mambo haya ya pm basi tu ngoja niendelee kuwekea moyo wangu kufuli
Mimi hapa....
Ataliwa mtu na jini ohooooo
zani kila id inamilikiwa na mtu
Itakuwa huwajui vizuri watu hapa kwi kwi kwi
analiwa na jini ana beba mimba ya pepo anazaa ibilisi afu anakuja kuomba ushauri jf!!!!
Pritendaaa wakubwaaa ( in masanja's voice)
aagh! Ww huwez ila unambwembwe za mdomo tu. Lakn kwingne kule umetulia hata jamaa yako anakusifia sana
analiwa na jini ana beba mimba ya pepo anazaa ibilisi afu anakuja kuomba ushauri jf!!!!
Jamaa yangu yupi wa insta, fesibuku, jf au watsapp?
Aaagggrrrr wasinilie unit zangu mieHahhhhhahhhhhahhhhahhhaha tena walokolee kumbe shetan binamu hahhhhahhhahha
Mara mia kujitongozesha kuliko kumsema mtu maneno ya uongo
halafu huyo unaenisemea nalala na kuamka nae
aaagggrr muda huo ananisimulia huo umbea wako tumepandishia miguu kwa raha zetu
tunakuchora tu na vikoment vyako hapa kujifanya kibaunsa
kumbe baunsa kinyambe ptuuuu