wanawake wengine wazuri jamani!!!

sasa ulishindwa nini kumtokea na wewe mwanaume?mahisi unatatizo nitafute
 
Ndo haohao bdaye mnakuja hapa kuwananga ooh wananuka vipapa!! Hawaogi! Mtindi maziwa ugali na samaki loh!!
 

Ashakum si matusi, allow me a "Juma Nature" moment.

Chooni anaenda au haendi?
 
Acha kubabaikia wadada wazur...weng wao hawana kitu...engine inakuaga ni mbovuu kinomaaa
 
Yaani wewe na mwanao pamoja na mke wa mwanao mlienda bizinenga?
Huyo mke wa mwanao hakuogopi kwamba wewe ni baba mkwe?
 
Unaweza kuta huyo aliyemuita mzuri kwako usiuone huo uzuri. Naweza mwambia mtoa mada kuwa anazeeka vibaya, ni vizuri katika kuzeeka kwake amrudie Muumba wake badala ya kuendekeza tamaa za mwili ambazo ni sawa na kujilisha upepooo. Pole weee!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…