wanawake wengine wazuri jamani!!!

wanawake wengine wazuri jamani!!!

dyuteromaikota

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2013
Posts
5,936
Reaction score
8,345
Jana kama ilivyo ada mimi na mwanangu (pamoja na mke wake) tumeenda sehem inaitwa kibo biznenga (maarufu sana kwa nyama nyuma ya best bite)
Ile kuingia tu pemben walikaa watu watatu! Jamaa mmoja na wadada wawili. Sasa mmojawapo ya wadada hao wawili jamaaaaaaniiii!! Ana sura nzuri huyo mdadaa!!! Macho mazuri!!! Figure nzuri!!! Rangi nzuri!!!
swali ni je kuna watu wengine walijichagulia maumbo!!!?
 
km ww ni kidume kwanini usingemtongoza bla kujal yule jamaa ni nani ake?...unakuja kupga kelele humu
 
Unatupgia kelele hapa c ungemtongoza?! Bwbwa kweli ww au joka la kibisa nn?
 
km ww ni kidume kwanini usingemtongoza bla kujal yule jamaa ni nani ake?...unakuja kupga kelele humu

Mkuu hata mimi nilijiraumu kama wewe unavyoniraumu! Ila kuna moment mtu unakuwa kama umepooza then kuja kushtuka keshasepa!
 
yani wewe ni muzee ambaye una mtoto ambae ameoa? au sijaelewa, dah wazee wa siku izi balaa nadhani huyo kijana angekuwa ni bint yako hiyo tathmin ingemuhusu... Dah mbaya sana kama true aisee
 
yani wewe ni muzee ambaye una mtoto ambae ameoa? au sijaelewa, dah wazee wa siku izi balaa nadhani huyo kijana angekuwa ni bint yako hiyo tathmin ingemuhusu... Dah mbaya sana kama true aisee

Maneno ya vijana hayo......Alikuwa anamaanisha rafiki...
 
walijichagulia maumbo kutoka wapi?
 
Ngoja nikuitie vipaji vya kuanzisha sredi ukopeshwe japo uzi mmoja wenye mashiko ili tupate cha kuchangia grandPa
 
Chamtu mavi!!!...hihihihi....ila sasa....ungepata bahati ya kumtongoza na kumpeleka hoteli...ile anaanza kuvua nguo..dizain kama sarenda bliji au kipanya kimekufa. Au maji ya maharage. ....Clouds fm wanakimlio kina sema " Noma sanaa"

Dont play it at home. John Cena 4: 3-4b
 
swali ni je kuna watu wengine walijichagulia maumbo!!!?

Sio kweli, Mungu ndiye anayewaumba hivyo na jukumu la kuwatongoza katupatia sisi wanaume...

Kama umempenda basi mtongoze umfanye awe mkeo.

Kama hauna uwezo basi endelea kula kwa macho na utuache wenye uwezo wa kuzeveza tujibebee...

Umeelewa???
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom