Wanawake wengine wanapenda kupeleka ubongo likizo ya muda mrefu

Dunia hadaa walimwengu shujaa[emoji30].

"Stand for truth always stand alone"
Hii mbaya sana!

Kuna rafiki yangu pia Wazazi wake walitengana,walikuwa vizuri sana! Mzee alikuwa yuko kitengo pale bandari pia alikuwa anamiliki Kampuni ya usafirishaji na Gas stations kadhaa mjini.

Mama yeye alikuwa na maduka matatu makubwa ya simu kariakoo,kwa ufupi ni kwamba mama akaja kuona mzee sio type yake wakaachana na kugawana vilivyowezekana.

Akaja akapata kijana wa mjini ambaye kwa madai yake ndio type yake.

Madhira aliyopewa yule Mama na boyfriend mpya hayaelezeki ,mapaka naandika hapa mda yule mama anatia huruma kuliko watu wote hapa duniani.

Ni kwamba sasa hivi anaishi kwa kutegemea kuuza chupi za mtumba kwenye minada ya jumapili.
 
Huyu dada hapa mtaani kwetu huku Kwamtogole aliolewa na mume mchacharikaji mashallah, walijenga nyumba, mwanaume alianza biashara, alinunua dalala, nyumbani mboga si saba lakini mbili at tatu wana mudu.

Walibahatika kupata watoto wawili, wa kike na wakiume. Bi dada lakini hakua ameridhika na yule mwanaume. Yeye alimuona mshamba wala si wa level yake.

Siku ya siku yule baba wa watu amepata ajali. Alifariki, mirathi yote ameachiwa bi dada. Sasa ana raha yuko single na amempata kijana wa hadhi yake.

Yule kijana alianza kumwambia anampenda lakini hawezi kukaa kwenye nyumba ilyojengwa na mwanaume mwenzie. Hivyo waiuze waanze moja pamoja. Kweli cash waliyokua nayo walitafuta nyumba Sinza wakahamia. Nyumba aliyoacha marehemu ikauzwa.

Kijana ndiyo amekua father house. Kila kitu anasimamia yeye. Alianza kujenga, nyumba ilivyoisha alimleta mama yake kutoka kijijini. Dada ameanza kushinda na mama mkwe na kijana anamuambia mama yangu umhudumie.

Bibi ameanza commands ndani ya nyumba mpaka vitoto havina raha kwa kutumwa. Sasa dada ndiyo anaamka hataki tena ile hali. Anagundua kuwa nyumba na kiwanja hana jina lake.

Sasa ametafuta ndugu wa marehemu mume wake wamsaidie kupata mali zake.

Hivi unaweza kuwa na shamba la koroshao na ukaingia ubia na mtu mweye tuta la mchicha?
Dah! Hii dunia ya kiafrika inatutesa jamanii!! Wanaume wenzangu, kazi tunayo

Yaan kwamantiki hiyo hao watoto ni mzigo wa ndugu....! Dah inauma.
 
Huyu dada hapa mtaani kwetu huku Kwamtogole aliolewa na mume mchacharikaji mashallah, walijenga nyumba, mwanaume alianza biashara, alinunua dalala, nyumbani mboga si saba lakini mbili at tatu wana mudu.

Walibahatika kupata watoto wawili, wa kike na wakiume. Bi dada lakini hakua ameridhika na yule mwanaume. Yeye alimuona mshamba wala si wa level yake.

Siku ya siku yule baba wa watu amepata ajali. Alifariki, mirathi yote ameachiwa bi dada. Sasa ana raha yuko single na amempata kijana wa hadhi yake.

Yule kijana alianza kumwambia anampenda lakini hawezi kukaa kwenye nyumba ilyojengwa na mwanaume mwenzie. Hivyo waiuze waanze moja pamoja. Kweli cash waliyokua nayo walitafuta nyumba Sinza wakahamia. Nyumba aliyoacha marehemu ikauzwa.

Kijana ndiyo amekua father house. Kila kitu anasimamia yeye. Alianza kujenga, nyumba ilivyoisha alimleta mama yake kutoka kijijini. Dada ameanza kushinda na mama mkwe na kijana anamuambia mama yangu umhudumie.

Bibi ameanza commands ndani ya nyumba mpaka vitoto havina raha kwa kutumwa. Sasa dada ndiyo anaamka hataki tena ile hali. Anagundua kuwa nyumba na kiwanja hana jina lake.

Sasa ametafuta ndugu wa marehemu mume wake wamsaidie kupata mali zake.

Hivi unaweza kuwa na shamba la koroshao na ukaingia ubia na mtu mweye tuta la mchicha?
Wapo wengi sana wa hivi... ILA baada ya muda WANAANZA kujita
 
Back
Top Bottom