Wanawake huwa tunashindwa kushirikisha bongo zetu kwenye mapenzi...
Ujasili wa kusema mnapenda hela kuliko mapenz huwa mnautoa wapi???
Wakati mkiwa hamjapenda ndio mnawaza hela.
Sasa wanaume na sisi hatuachi kuwatongoza(kuwadanganya) bila hata hela.
Ok keep up the struggle
Kwa maelezo yako itakuwa ni "KARMA" mkuu amakweli malipo ni hapahapa dunianiKama ye alivyokuwa na malengo marefu kwa marehemu mumewe ndivyo ambavyo huyo jamaa amejuwa na malengo marefu kwake na kafanikiwa
Sure mkuu "-- daah inauma sana ..pindi ujinga na udhaifu wa mtu mmoja unapo toa Adhabu kwa watu wengine....Huruma ni Kwa watoto wa marehemu, watateseka kwa ujinga wa mama yao
Kuna ndoa nyingi wazazi walishachokana lakini walikua pamoja mradi watoto wakueSure mkuu "-- daah inauma sana ..pindi ujinga na udhaifu wa mtu mmoja unapo toa Adhabu kwa watu wengine....
Tunapokuwa kuwa wazazi tunapaswa kutambua yakwamba ule uwezekano wa kuishi Maisha kwaajili yetu tu pekee haupo tena. Maisha yetu yana kuwa ni future ya kizazi chako ..so yatupasa kuwa na maamuzi bora ambayo yateta hatima njema kwaajili ya vizazi vyetu
Hahaa kuna mtu nimetka kumuambia maneno kama haya mchana wa leo hii ...wengine wanaogopa kuachana kwaajili ya kulinda maslahi ya mali zao lakini upendo ulisha kufaKuna ndoa nyingi wazazi walishachokana lakini walikua pamoja mradi watoto wakue
Mapenzi ya albadili kuteketeza umati!Huyu dada hapa mtaani kwetu huku Kwamtogole aliolewa na mume mchacharikaji mashallah, walijenga nyumba, mwanaume alianza biashara, alinunua dalala, nyumbani mboga si saba lakini mbili at tatu wana mudu.
Walibahatika kupata watoto wawili, wa kike na wakiume. Bi dada lakini hakua ameridhika na yule mwanaume. Yeye alimuona mshamba wala si wa level yake.
Siku ya siku yule baba wa watu amepata ajali. Alifariki, mirathi yote ameachiwa bi dada. Sasa ana raha yuko single na amempata kijana wa hadhi yake.
Yule kijana alianza kumwambia anampenda lakini hawezi kukaa kwenye nyumba ilyojengwa na mwanaume mwenzie. Hivyo waiuze waanze moja pamoja. Kweli cash waliyokua nayo walitafuta nyumba Sinza wakahamia. Nyumba aliyoacha marehemu ikauzwa.
Kijana ndiyo amekua father house. Kila kitu anasimamia yeye. Alianza kujenga, nyumba ilivyoisha alimleta mama yake kutoka kijijini. Dada ameanza kushinda na mama mkwe na kijana anamuambia mama yangu umhudumie.
Bibi ameanza commands ndani ya nyumba mpaka vitoto havina raha kwa kutumwa. Sasa dada ndiyo anaamka hataki tena ile hali. Anagundua kuwa nyumba na kiwanja hana jina lake.
Sasa ametafuta ndugu wa marehemu mume wake wamsaidie kupata mali zake.
Hivi unaweza kuwa na shamba la koroshao na ukaingia ubia na mtu mweye tuta la mchicha?
Wadada ni maboxi hasa wale wanaojidai ni wakimjini woi hujui tu.Huyu dada hapa mtaani kwetu huku Kwamtogole aliolewa na mume mchacharikaji mashallah, walijenga nyumba, mwanaume alianza biashara, alinunua dalala, nyumbani mboga si saba lakini mbili at tatu wana mudu.
Walibahatika kupata watoto wawili, wa kike na wakiume. Bi dada lakini hakua ameridhika na yule mwanaume. Yeye alimuona mshamba wala si wa level yake.
Siku ya siku yule baba wa watu amepata ajali. Alifariki, mirathi yote ameachiwa bi dada. Sasa ana raha yuko single na amempata kijana wa hadhi yake.
Yule kijana alianza kumwambia anampenda lakini hawezi kukaa kwenye nyumba ilyojengwa na mwanaume mwenzie. Hivyo waiuze waanze moja pamoja. Kweli cash waliyokua nayo walitafuta nyumba Sinza wakahamia. Nyumba aliyoacha marehemu ikauzwa.
Kijana ndiyo amekua father house. Kila kitu anasimamia yeye. Alianza kujenga, nyumba ilivyoisha alimleta mama yake kutoka kijijini. Dada ameanza kushinda na mama mkwe na kijana anamuambia mama yangu umhudumie.
Bibi ameanza commands ndani ya nyumba mpaka vitoto havina raha kwa kutumwa. Sasa dada ndiyo anaamka hataki tena ile hali. Anagundua kuwa nyumba na kiwanja hana jina lake.
Sasa ametafuta ndugu wa marehemu mume wake wamsaidie kupata mali zake.
Hivi unaweza kuwa na shamba la koroshao na ukaingia ubia na mtu mweye tuta la mchicha?
Unajidanganya mwenyewe yakikufika huwezi kuweka siriWadada ni maboxi hasa wale wanaojidai ni wakimjini woi hujui tu.
Unaoa mwanaume wanapendaga hayo maisha nakupita naye barabarani mashosti wamwone atauza hata papuchi amlishe nakujionyesha kwa mabest atachukua hata simu aweke hela kwa simu ya huyo mchumba wake halafu anamwambia nitumie mbele ya mashoti zake.
Halafu anawaonyesha oneni J kanitumia laki mbili na wewe unaamini kumbe nichanga macho.
Mbona hapo Mungu hajamnyoosha badoo... Amalazee njaaa akose hata nguo ya kuvaaa itapendezaaHii mbaya sana!
Kuna rafiki yangu pia Wazazi wake walitengana,walikuwa vizuri sana! Mzee alikuwa yuko kitengo pale bandari pia alikuwa anamiliki Kampuni ya usafirishaji na Gas stations kadhaa mjini.
Mama yeye alikuwa na maduka matatu makubwa ya simu kariakoo,kwa ufupi ni kwamba mama akaja kuona mzee sio type yake wakaachana na kugawana vilivyowezekana.
Akaja akapata kijana wa mjini ambaye kwa madai yake ndio type yake.
Madhira aliyopewa yule Mama na boyfriend mpya hayaelezeki ,mapaka naandika hapa mda yule mama anatia huruma kuliko watu wote hapa duniani.
Ni kwamba sasa hivi anaishi kwa kutegemea kuuza chupi za mtumba kwenye minada ya jumapili.
Malipo ni hapa hapa dunianiHii mbaya sana!

Mwaka huu, tuta la mchicha lilikuwa afadhali kuliko shamba la korosho. Labda ndiyo hapo aliingia chaka.Huyu dada hapa mtaani kwetu huku Kwamtogole aliolewa na mume mchacharikaji mashallah, walijenga nyumba, mwanaume alianza biashara, alinunua dalala, nyumbani mboga si saba lakini mbili at tatu wana mudu.
Walibahatika kupata watoto wawili, wa kike na wakiume. Bi dada lakini hakua ameridhika na yule mwanaume. Yeye alimuona mshamba wala si wa level yake.
Siku ya siku yule baba wa watu amepata ajali. Alifariki, mirathi yote ameachiwa bi dada. Sasa ana raha yuko single na amempata kijana wa hadhi yake.
Yule kijana alianza kumwambia anampenda lakini hawezi kukaa kwenye nyumba ilyojengwa na mwanaume mwenzie. Hivyo waiuze waanze moja pamoja. Kweli cash waliyokua nayo walitafuta nyumba Sinza wakahamia. Nyumba aliyoacha marehemu ikauzwa.
Kijana ndiyo amekua father house. Kila kitu anasimamia yeye. Alianza kujenga, nyumba ilivyoisha alimleta mama yake kutoka kijijini. Dada ameanza kushinda na mama mkwe na kijana anamuambia mama yangu umhudumie.
Bibi ameanza commands ndani ya nyumba mpaka vitoto havina raha kwa kutumwa. Sasa dada ndiyo anaamka hataki tena ile hali. Anagundua kuwa nyumba na kiwanja hana jina lake.
Sasa ametafuta ndugu wa marehemu mume wake wamsaidie kupata mali zake.
Hivi unaweza kuwa na shamba la koroshao na ukaingia ubia na mtu mweye tuta la mchicha?
Tunajua sharo style zao mie siwezi kumlisha mwanaume hata siku mmoja huo ni uchizi.Unajidanganya mwenyewe yakikufika huwezi kuweka siri
Si ndiyo hayati mume aliponzeka na uzuri wa sura