Nataka mkuu, ila kwenye feed kila nikifungua nakutana sijui na thread gani, mara "Niliwahi kuhamia nyumba mpya bila kufanya usafi nikapiga chafya wiki nzima je wewe umewahi kupitia kitu kama hiki?!?"
"Nimekutana na rafiki yangu wa utotoni aliwahi kunipiga kelbu je nimrudishie au nimuache, wewe umewahi kukutana na rafiki yako?"
LIKE SERIOUSLY?!?!!?!?!?!?!.