Powell Gonzalez
JF-Expert Member
- Jun 28, 2023
- 1,662
- 3,017
Anataka ufe na njaa, ishi humo!huyu mdada anataka nife njaa au nipate ulcers?
Daaah so heartbreakingAnataka ufe na njaa, ishi humo!
We unaweza kupika pilau mkuu?Si upike mwenyewe!
Aaah dadadeki🤣🤣Ulikosea ungentumia hela anunue yeye hayo mapochopocho. Unakuwa kama sio legend. 😁
Aaah dadadekiUlikosea ungentumia hela anunue yeye hayo mapochopocho. Unakuwa kama sio legend. 😁
Huku ni chitchat mkuu, ni wewe umekosea njiaHawa members wapya wa 2022 to date wanapost upumbavu sana, namiss sana JF yetu ya zamani.
Kashtuka wewe ni swinga utamfanyia analysis wansi at twaisi halafu uta mtrendisha.
Ibungu bar?Kwanini ushinde njaa.
Nenda Ibungu wapo wengi mno.
Ni kasheshe bwasheeMkuu shikamoo😂😂😂
Mshenzi sanaPole sana mkuu,hata mimi sihafiki iloo swala ni sawa na mauaji mkuu,alitaka ufe aise..
Nimekuvulia kofiaNi kasheshe bwashee
Mkuu unataka post zilizo serious tu? Hutaki utani kabisa?🤔Hawa members wapya wa 2022 to date wanapost upumbavu sana, namiss sana JF yetu ya zamani.