Wanawake wengine hawana shukrani kabisa, sijui wakoje

Wanawake wengine hawana shukrani kabisa, sijui wakoje

Nilishasema nyie endeleeni tu kuhangaika kujua mwanamke anataka nini, maana yeye mwenyewe anaweza kuona kitu akakipaparikia vibaya akakinunua ila akifika nacho ndani tu anakuwa hakitaki tena. Sembuse wewe ndugu unaejihangaisha kumfanyia mshangao (suprise)
 
Amesema hicho sio anachokitaka. Nadhani kipo anachokitaka. Na hilo ndio kosa kubwa la mwanaume kutokujua mwenza anataka nini na kudhani kwamba pesa na zawadi za thamani kubwa vitamfanya akupende zaidi.
Jinsi alivyosema tu anaonesha ni aina gani ya mwanamke angeweza kumwambia jamaa kistaarabu tu na akamuelewa vizuri.
 
Mchungaji wangu alinambia
"Ukigombana au kupigana na mke wako; unakuwa mpumbavu"

Kwakuwa ukifanya hivyo means hujatumia akili kuishi na mwanamke kama Mungu anavyotuagiza.

Huyo jamaa yeye hakutumia akili kujua nini mwanamke anachotaka.
Hayo ndiyo matokeo yake.
 
Kuna jamaa yangu alimpelekea demu wake card ya valentine. Kwenda kesho yake, akakuta demu katumia ile card kuipulia sufuria ya chai. Dah! jamaa alikasirika sana ila akaja kwangu kulalamika. Kwangu akaambulia kicheko tu, nilishindwa hata nimshauri nini.
 
Daaah. Jamaani.

Ila ndio mjifunzage jamaani kujua nini tunapenda kwa kweli maana waeza kuta anataka PASSO.

[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️
Best sikusomi pyem
 
Amesema hicho sio anachokitaka. Nadhani kipo anachokitaka. Na hilo ndio kosa kubwa la mwanaume kutokujua mwenza anataka nini na kudhani kwamba pesa na zawadi za thamani kubwa vitamfanya akupende zaidi.
umeongea point muhimu sana.
kuna gharama gani kumuuliza kwa akili kuwa nini hasa huwa anapendelea?
 
Hahahaaaaa. Lol.

Sasa hapo kosa si linakuwa lako kwa kumletea asichokipenda unamuachaje sasa Mkuu?
Loh wako wenzeka wanatamani wanunuliwe hata simu wanakosa. Wazuri zaid yake.
Yeye anaishi jiran na Mungu mpala aringe kias hiko
 
Amesema hicho sio anachokitaka. Nadhani kipo anachokitaka. Na hilo ndio kosa kubwa la mwanaume kutokujua mwenza anataka nini na kudhani kwamba pesa na zawadi za thamani kubwa vitamfanya akupende zaidi.
Hata kama, lazima tujifunze shukurani na kuappreciate mtu akitoa zawadi. Sio zawadi zote zinamatch na matarajio ila kushukuru kunampa nguvu mtoa zawadi hata next time akuletee zawadi unayoitaka
 
Lakn m nadhan hata kama kitu hujakipenda kuna namna ya kumwambia labda na katika maongez unaeza kusema ningetaman sku moja nipate kitu fulan kiukwel hamna kitu inakatisha tamaa kama kujipinda umfanyie mpenzi wako kitu afu asiappreciate inaumiza kuliko an na si hvo tu hata kama mkeo sku hyo hajapika vzur huwez mwambia direct kwamba chakula n kibaya
 
Mie mpenzi wangu valentine nilimpa vitu vya kusuuza sana moyo wake alilia kwa furaha. This years valentine was memorable!

On the other hand i won't hesitate to call that ungrateful bitch on the video a clown unless iwe ni parody!

Zawadi ni kitu special you always have to show concern on the providers efforts hata kama kitu chenyewe hakijakugusa kihivyo. Ni uungwana tu!
 
Hapo kwa kizungu umeniacha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom