Lkn bado hatujui kosa la marehemu. Pole kwa wanandugu na marafiki, tujifunze ni vzr ujue personality ya mtu wako ili usipatwe na kisa cha kutosamehewa.
Pole dada,Mungu atakusaidia.Unapaswa kusamehe bila kinyongo kwani na wewe unahitaji kusamehewa.nina tatizo la kutokusamehe
Mungu anisaidie
yaani hata kitu kidogo tu napata wakati mgumu kusamehe,
Kusamehe ni kanuni,UMEBARIKIWA.Mhh!! Maskini jamani inaumiza sana, watoto washakosa baba, katika vitu namshukuru Mungu kaniwezesha ni Kusamehe kama Biblia inavyosema jua lisizame una uchungu moyoni hilo nazingatia sana siku haipiti na likiwa zito kabisa kabisa kiasi kwamba sina jinsi siku 3 mwisho baada ya hapo ni amani amani hata kama sijaombwa msamaha natangaza mwenyewe na maisha yanasonga mbele .
Si damu na nyama vilivyokufunulia hayo,Mungu akukumbuke.Jambo moja nilijualo katika maisha:-
Kusamehe na Kusamehewa kunawaweka watu HURU.
Si damu na nyama vilivyokufunulia hayo,Mungu akukumbuke.
Nakuja pm nahisi utakua my x girlfriend.
Sijajua marehemu alifanya kosa gani ila ni la uzinzi inahitaji mcha Mungu sana kusamehe. Makosa mengine yanasameheka kirahisi lakini sio uzinzi. So huyo mama kama hakimsamehe akiwa hai usitegemee hata kifo kitamuuma maana tayari roho yake ilishakufa ganzi. Hiyo chuki na laana ya huyo mama ndio iliyomuua huyo baba hakuna kitu kibaya kama kumuumiza mtu uliapa nae kwa Mungu tunalaanika vibaya sana kwa kuwaumiza.
Siamini macho yangu na hki kichwa..........R.I.P maskini . Watoto do washakosa baba hivo