HAHAHAHHA, umefanya usiku wangu uwe mfupi, nadhan zimebaki nusu ya tigo tu kwa wenye umri huo ndo bikra. kuna kadada fulani miaka fulan iliyopita alikuwa katoka ku-graduate tu, mara kanibambia mie bikra, akanizungusha weeee, nikasema leo niijue bikra ya 24 graduate. siku ya mzigo SMG ilipita kama mbio za formula one!! mjini hapa nikaambiwa ilitolewa na bicycle huko kwao kijijini. wizi mtupu
Kabla ya kujiuliza kama bikra ni hivi au vile
Jiulize kwanza unaitaka bikra ili iweje?
Isije kuwa unaitaka bikra kwa sababu ipo tu!
teh teh teh wewe si ndo ulisema yakwako ulítoa ktk baiskeli.?
wengine zetu ni original bana, usituharibie hapa.
Swadaktaaa swahiba...
Tena atuache miaka yooote!!
Weka picha!