Wanawake wengi wenye age btn 18yrs-28yrs wana bikra za makuti..!?!

Wanawake wengi wenye age btn 18yrs-28yrs wana bikra za makuti..!?!

Kama unataka bikra original nenda kwa watoto wa nursery. Miaka hii kumkuta binti mwenye bikra ni sawa na bahati ya mtende
 
acha ujinga wewe bikra kwa mwanaume inakaa wapi.?

Bikira ni mtu ambaye hajawahi kushiriki ngono, kwa mwanamke wapo wanaokuwa na alama inayochukuliwa kama uthibitisho na wapo ambao hawana lakini hawajashiriki ngono na mtu ni maumbile Yao tu. Wanaume mnataka wanawake mabikira kwasababu mnataka kuwaendesha na kuwafanyia mnavotaka, lakini swali ni kwamba wewe unayemtaka bikira ni bikira mwenyewe. Bikira sio kiungo cha mwili kumbuka ni sifa ya mtu, wewe ni bikira?!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom