Sikumbuki nipo kundi gani?haaaaaaaa kwani hujijui
Usije kuta we ndo unakifutio meku
Khee asanteww ni mzuri
miss chaggaAisee ngoja nikajijue
Ndio. Mimi ni mzuri.ww ni mzuri?
Niko vizuri sijisifu, pia sio mimi tu kila mwanaume anayemtokea arudi tena na ninawajua, kuna mmoja nae alidai tatizo hilo hilo utasema nna kifutio, mbona wengine fresh tuUsije kuta we ndo unakifutio meku
Na mtaro wenyewe utakuwa umeuchimba wewehaaaaaaaa bc utakua na mtaro
Usikute wewe ndo ulikuwa na kakidole bhana.Kweli nshakuwaga na mmoja housing si mchezo mtoto mzuri lakini siku ya kupiga nilijuta, breki p*mbu baada ya hapo sikumtaka tena hata simu zake nilikuwa sipokei
ukifuatilia sana Wanawake wazuri warembo wenye figa pia sura nzuri ukiishi nae lazima atakuwa na mapungufu haya malaya, mjuaji, pia kwenye mapenz huwa ni wabovu sana aidha unakuta hayajui mapenz ila wengi wao unakuta mashine ni mbovu
.. huwa najiuliza sana huwa ni kwa nini ndiyo maana Wanawake wengi warembo ila unakuta hawaolewi au wanaachika.