Vyakula vya mafuta bila ya mazoezi
Kazi gani bana, hebu funguka mkuu na mimi nipate faidaNature ya kazi yetu hairuhusu kufanya mazoezi
Kazi gani bana, hebu funguka mkuu na mimi nipate faida
Haijalishi kitambi wala mimba kama una kipaji kunako uwanja wa seremala huyo mwanaume hawezi kufikiria kitambi maana wengine ndo maumbile yao.
Ukijiwekea ratiba inawezekana, kwa mfano rudisha nyuma nusu saa ya muda wako wa kawaida kisha hiyo nusu saa itumie kwa mazoezi inawezekana.Unaingia ofisini 6:30,Kutoka Ni 1700hrs,
Bado hujafanya shughuli ndogo ndogo za nyumbani,
Tofauti na jinsia ya kiume ukitoka kazini una muda wa ziada ya kufanya mazoezi,
Ukijiwekea ratiba inawezekana, kwa mfano rudisha nyuma nusu saa ya muda wako wa kawaida kisha hiyo nusu saa itumie kwa mazoezi inawezekana.
Na sio lazima uende eneo husika(gym) hata chumbani au sebuleni inawezekana.
Najua kwa jioni utakuwa umechoka, lakini kwa subuhi sio tatizo.
Tatizo na nyinyi dada zetu wavivu kazini unaenda na usafiri wako na unarudi na usafiri wako, na kazi zenyewe za kukaa kisha mnalalamika kuchoka, hapo sijaongezea msichana wa kazi yupo na bado mtasema mnachoka
Anzisha uzi wako hapa mada wanawake, ikija mada ya wanaume tutajadili ila kwa sasa naomba tuwekane sawa hapa kwanzaKama Vitambi vyetu ni uvivu basi kina kaka na baba wanaongoza kwa uvivu,Maana percentage wise ndo wanaongoza kwa vitambi.
Aaahh...Aisee ngumu sana,
unakuta mwanamke mrembo lakini bia 8 kitimoto daily, viepe kwa sana u guys hembu mjihurumie ukikosa wa kukuoa utalalamika?
Mambo yetu yanatunyookea ndo maana tunaota vitambi, na mambo yakizidi kuwa poa zaidi jiandae kutuona tunaota vipara....
Wadau naomba nijitokeze kwamara ya kwaza katika jukwaa hili, hili jambo nimeliona sana na kwakweli tobe honesty mimi nawachukia sana wanawake wenye vitambi (kimapenzi na si vingine) lakini sasa ndio hao wako wengi zaidi ya asilimia 70. toa maoni yako ili tuwasaidie dada zetu wapunguze vitambi mana wanakera sijui ni lifestyle sijui ni nini?
Tujadili...




hapo mambo yao hayafanyiki labda kwa njia ya bluetooth!