Wanawake wengi wanaotafta wanaume mitandaoni hua ni reject.

Vigezo ninavyo. Tatizo ni pale mtu anapotaka vigezo vikubwa wakati yeye hata hata kigezo kimoja cha kuzugia basi angalau kubalance na mtu anaemtaka.

Unakuta mtu amelingana juu hadi chini kama chupa ya chai, amenenepeana kama funza.
Sema nawe mkuu unamaneno ya shombo Sana taharabu nyingi Kama upo kwenye kitchen part bana[emoji1] [emoji1] , aya ayo yanawatosha kwa leo.
 
Naomba niseme kua maisha yamebadilika na sio kila mtu anaetafta mchumba mtandaoni kua hafai.

Baada ya kutoa hiyo tahadhari narudi kwenye mada, wanawake wengi wanaotafta wanaume humu jf wengi hua ni reject. Huu ni utafiti wangu binafsi baada ya kuhold multiple accounts humu.

Wanawake wengi wanaokuja humu na masharti kibao na vigezo viingi ukikutana nao unaweza ukalia, ni reject kabisa. Kuna mmoja alitoa vigezo kama 200 kwa mwanaume anaemtaka, ukisoma post zao unaweza kudhani labda ni ma manzi wa ukweli, onana nao unaweza kutamani hata uzime simu umkimbie. Wengi ni vimeo, single moms, shapeless and polygons. Unakuta mtu yuko kama sufuria ya ugali.

Naomba ieleweke kua hapa sijataja mtu wala sijatoa siri ya mtu specific, nimesema tu kwa ujumla kutokana na uzoefu wangu.

Tahadhali, wanawake ishini kwenye uhalisia. Unakuja hapa unamwaga vigezo kibaaao za mwanaume unaemtaka kumbe wewe huna hata sifa chache zinazoendana na mwanaume unaemtaka huna.
Mkuu umeniacha hoi eti polygon?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hyo mkuu unataka kusema kati ya
Miss natafuta
Cariha
Faiza foxy
Demiss
Aggyjay
Mmoja wapo ni sufuria la ugali??

Mkuu maendeleo hayana chama,kikubwa awe na utu
 
reject maana yake nini au ni muendelezo wa dharau kwa hawa dada, binamu, shemegi na mama zetu?
 
Back
Top Bottom