PANTHERA LEO
JF-Expert Member
- Jan 25, 2019
- 2,307
- 3,447
Nimecheka mnooo hapa.Hahahaaha sufuria la ugali
Write your reply...
Hujui sufuria ya kupikia ugali inakuaje?
Vigezo ninavyo. Tatizo ni pale mtu anapotaka vigezo vikubwa wakati yeye hata hata kigezo kimoja cha kuzugia basi angalau kubalance na mtu anaemtaka.Mtoa mada kama vigezo huna uckacrke... Ni hali ya maisha...
Sent using Jamii Forums mobile app
Nani ka kwambia uzuri wa gari ni engine mkuu[emoji1]Sasa si choice yake mkuu, tatizo humu jf watu huweka high expectations sasa ikifika mda wa kuonana wote wanakimbiana, nyie vinara wa kusema wadada, in short humu jf kuna watu wa kawaida si wanaume, wala wanawake. Mie huku na marafiki tunaheshiama mno hzo appearance ni wazinzi huzi tafta. Hafu uzuri wa gari ni engine eeeh
Sent using Jamii Forums mobile app
Nani ka kwambia uzuri wa gari ni engine mkuu[emoji1]
Sema nawe mkuu unamaneno ya shombo Sana taharabu nyingi Kama upo kwenye kitchen part bana[emoji1] [emoji1] , aya ayo yanawatosha kwa leo.Vigezo ninavyo. Tatizo ni pale mtu anapotaka vigezo vikubwa wakati yeye hata hata kigezo kimoja cha kuzugia basi angalau kubalance na mtu anaemtaka.
Unakuta mtu amelingana juu hadi chini kama chupa ya chai, amenenepeana kama funza.
Lol..! You made my day.[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
Sasa reject ukabebane na reject mwenzio product itakuwaje[emoji134][emoji134][emoji134]
Angalau tunadilute jamani.