cariha
JF-Expert Member
- Apr 9, 2015
- 22,067
- 46,703
Sasa si choice yake mkuu, tatizo humu jf watu huweka high expectations sasa ikifika mda wa kuonana wote wanakimbiana, nyie vinara wa kusema wadada, in short humu jf kuna watu wa kawaida si wanaume, wala wanawake. Mie huku na marafiki tunaheshiama mno hzo appearance ni wazinzi huzi tafta. Hafu uzuri wa gari ni engine eeeh
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtu anakuna hapa, ooh mimi nataka mwanaume wa hivi na vile na hivi, mara sitaki wanaume flani. Sasa sisi wenye general qualifications hua tunaingia pm, baadae ukikutana nae unatamani kulia, reject kabisa. Sura, dental gormula, shape na vitu vinginr haviendani kabida, yuko unproportion.
Unajiuliza huyu anataka mwanaumr wa hivi wakati yeye hata sifa tu za kuendana hana.
Sent using Jamii Forums mobile app