Wasalam Wana JF
Mimi nikijana mwenye umri wa miaka 27 katika harakati zangu zamaisha nimeshakua na mahusiano na wanawake tofauti tofauti na swala la kuchakata lilikua siolakuniumiza kichwa.
Mwanzoni mwa mwaka uliopita nilibadili makazi ya utafutaji na mwanamke niliekua nimemweka kwenye malengo ya kuishinae aliamua kuvunja ahadi nakufwata maisha yake.
Hivi Sasa huku nilipoo swala la uchakataji limekua gumuu Kila napogusaa wananikimbiaa ,maneno mazuri na vielaa siokipaombele Chao ila kiujumla hawaeleweki .
Naombeni ushauri halii imekua ngumu na suluhisho maafisa utamu jambo ambalo sijawahi Fanya kutokana na kuogopa magonjwaa
Naombeni vitu vyakuzingatia
wakati wakuingia tenda na Hawa