Wanawake wengi wa siku hizi waongo kwelikweli

UrbanGentleman

JF-Expert Member
Jun 19, 2016
2,586
1,883
Yaani siku hizi imekua fashion kudanganyana hasa katika mapenzi. Yaani wanawake wamefikia hatua wanafake mpaka maisha mradi tu kuficha ukweli.

Unakuta mwengine kinywaji chake Castle Lite lakini ukitoka nae atataka anywe Hennesy mradi tu. Wengine watakwambia hana mtu kumbe kuna behewa la wajamaa. Wengine wanavaa pete za ndoa ujue wameolewa lakini uongo tu, mara wengine utasikia hawawezi kumuomba mwanaume hela kumbe mama yangu afadhali hata Matonya.

Ni kwanini mnakuwa hivi?
 
Habari Ya town sasa hivi wengi wao wanajifanya sio wa TZ, eti mara me mkenya, oh me nimekulia south, yaani kazi kweli.
Ishu nyingine tunazilea waTanzania wenyewe. Unakuta watu wanaona dili sana kuwa na asili ya nchi nyingine.
Au mtu akidai sijui mkenya, mganda ..nk
Wabongo wanashoboka sana
Ambapo it's utter ignorance
 
Bila usanii ataishije mjini
Danganya kwa step. Sio kila kitu unafanya kwa mwendokasi..wengine kazi yao kuchubua wallet za wenzao...yaani wanavyojishau kunywa dompo,Savannah, saint Hannah na kubugia nyama kwa fujo utafikiri wanasherehe ya ukoo.
Ukimpa mwaliko au kumtoa outing.. Kimbembe kitakukuta kwan atakuletea mashosti wake kuja kumsaidia kukukamua vizuri.
 
Yaaani Sikuhz Imekua Fashion Kudanganganya Hasa Katka Mapenz Yani Mpaka Balaa Wanawake Wamefikia Hatua Wanafake Mpaka Maisha Mladi Tu Kuficha Ukwel Unakuta Mwengne Knywaji Chake Castle Lite Ukitoka Nae Atataka Anywe Hernesy Mladi Tu Wengne Watakwambia Hana Mtu Kumbe Kuna Behewa La Wajamaa.. wengne wanavaa pete za ndo ujue wameolewa lakn uwongo tu, mara wengne utasikia hawawez kumuomba mwanaume ela kumbe mama yangu afadhali ata matonya..
hata wewe pia inakuwa ushampigia sound za kufa mtu mpaka kukubali. Kwahiyo ngoma droo tu. Ukiona kaagizia vya bei ghali juwa na wewe ulimuingia na gear za upedeshee kuwa unamiliki vituo vya mafuta, bakhresa mjomba'ko kumbe kiukweli dalali wa vyumba Tandale. Inabidi uwe mkweli toka siku ya kwanza ili hata ukikubaliwa upigwe vishuti vya size yako.
 
Danganya kwa step. Sio kila kitu unafanya kwa mwendokasi..wengine kazi yao kuchubua wallet za wenzao...yaani wanavyojishau kunywa dompo,Savannah, saint Hannah na kubugia nyama kwa fujo utafikiri wanasherehe ya ukoo.
Ukimpa mwaliko au kumtoa outing.. Kimbembe kitakukuta kwan atakuletea mashosti wake kuja kumsaidia kukukamua vizuri.
Hatari hatari
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom