Wanawake wengi wa siku hizi waongo kwelikweli

Wanawake wengi wa siku hizi waongo kwelikweli

Habari Ya town sasa hivi wengi wao wanajifanya sio wa TZ, eti mara me mkenya, oh me nimekulia south, yaani kazi kweli.
Kuna Mmoja Akaniambia Mtoto Wa Tbaigana Na Ile Family Naifahamu Vzuri Mzee Tbaigana Ni Family Friend Sasa Mi Namchora Tu
 
Danganya kwa step. Sio kila kitu unafanya kwa mwendokasi..wengine kazi yao kuchubua wallet za wenzao...yaani wanavyojishau kunywa dompo,Savannah, saint Hannah na kubugia nyama kwa fujo utafikiri wanasherehe ya ukoo.
Ukimpa mwaliko au kumtoa outing.. Kimbembe kitakukuta kwan atakuletea mashosti wake kuja kumsaidia kukukamua vizuri.
Haha Pole Kaka Inaonekana Walikufanya Kitu Mbya Hawa Viumbe, Kuwa Makini Aise
 
Kwa Uwongo Wa Kuvaa Pete Za Ndoa Muonekane Wake Za Watu Au Kujifanya Hamlag Ugali Na Wakat Ndio Vmewalea Yan Mnafuruhsha Sana Sio Kwa Kamba Hzi
Kwa uongo wa kukana hajaoa ili muwe na mpango kando au kujifanya mnajua kulea huku nje na wakati familia yenu hanna habari nayo mnqsikitisha sana
 
Kwa uongo wa kukana hajaoa ili muwe na mpango kando au kujifanya mnajua kulea huku nje na wakati familia yenu hanna habari nayo mnqsikitisha sana
Yan Kwa Uwongo Huu Wa Kuwakamata Wazee Wetu Wa Miaka 65 Mpate Show Za Kchovu Na Vilio Vya Kihain Mladi Mpate Hongo Za Vi Ist Haha Nyie Mnatisha Sana.. Yani Macho Makavu Haha Nyie XXL haha
 
mbona wanaume skuizi mnatulalamikia sana
itabidi mfungue mahakama kwa ajili yetu!
 
Back
Top Bottom