Wanawake wengi sio "Watu"

Wanawake wengi sio "Watu"

Hapo uliposema kama mwanamke hana hisia na wewe tayari ni tatizo...kwa nini uwe na mtu ambae hana hisia na wewe??? Kwa nini usitafute mtu anaekukubali wewe kama wewe shida ndio inaanziaga hapo. Kuna wanaume ni ving'ang'anizi unakuta jamaa anamtaka mwanamke na anaona kabisa hapendwi lkn anatumia pesa ampate lazima uje apigwe kisogoni na kitu chenye ncha kali.
😅😅😅😅😅😅😅😅 mwanamke kama hataki mwache aende zake usimbake...Kulazimisha penzi ni hatari sawa na kulazimisha fani mwisho unaleta utani! ~ Afande sele


Sikuhizi kubakwa mtu anabakwa kwa kunyamazishwa na hela😅😅😅kubakwa kumegeuzwa barter trade! Unapewa penzi bila hisia tu ukijiloga kuwekeza na mihela umeisha! Hutaamini siku unaachwa kwenye mataa
 

Shetani humtumia mwanamke kumwangusha mwanaume hii ni tangu uumbaji, mwamke angekuwa hapati uchungu wa kuzaa angekuwa hatari kuliko hatari yenyewe.​

Adam and Eve​

Bob Marley & The Wailers

The lord named Adam and Eve,
To live a happy life.

In the garden of Eden,
But they disobeyed.

I wanna know,
Why they sin,
In the garden of Eden.
It's a devilman's affair,
In the shake of a surfband.
And they broke the fruit of life
And everyone of us is living in sin.

Any anywhere you go,
Woman is the root of all evil.
He was the first one to break a fruit
And everyone of us is living in sin.

The lord named Adam and Eve,
To live a happy life.
In the garden of Eden,
But they disobeyed.
I wanna know,
Why they sin,
In the garden of Eden.
It's a devilman's affair,
In the shake of a surfband.

And they broke the fruit of life
And everyone of us is living in sin.
Any anywhere you go,
Woman is the root of all evil.

He was the first one to break a fruit
And everyone of us is living in sin.
 
Dada hujUi kiswahili vizuri, sijasema wataua, nimesema kuna uwezekano mkubwa wa kuuliwa, khaa kuna mdada Ukitongoza anakukataa kwa chuki, kiasi cha kwamba unaona huyu akipata fursa ya kuniwekea sumu kwenye chakula, ataweka Carleen
Ahsante kaka,
Naomba nije unifundishe Kiswahili vizuri na nitalipia ada yake kabisa naahidi.!!
 
Back
Top Bottom