habari zenu wanajamii! Kuna hili swala la mwanamke alie katika mahusiano kutongozwa halafu anaenda kumshtakia kwa mpenzi wake! Hii inaweza ikawa ni sawa, ila ninavyojua mimi ni kwamba hapo mwanamke anakua hajakupenda ndo maana ameenda kushtaki. Akikupenda kamwe hatamueleza mumewe na itabaki kuwa ni siri yake na ataliwa uroda bila taabu yoyote. Mi navyoona ukutongozwa kaa kimya ni kawaida labda mtu akutongoze kwa kukufanyia fujo na kuwa kero.
BAK bana ,no research no right to post!Umejuaje? ulifanya research? kwa muda gani? Je, unaweza kutufahamisha ukubwa wa sample uliyotumia katika research yako?
BAK bana ,no research no right to post!
habari zenu wanajamii! Kuna hili swala la mwanamke alie katika mahusiano kutongozwa halafu anaenda kumshtakia kwa mpenzi wake! Hii inaweza ikawa ni sawa, ila ninavyojua mimi ni kwamba hapo mwanamke anakua hajakupenda ndo maana ameenda kushtaki. Akikupenda kamwe hatamueleza mumewe na itabaki kuwa ni siri yake na ataliwa uroda bila taabu yoyote. Mi navyoona ukutongozwa kaa kimya ni kawaida labda mtu akutongoze kwa kukufanyia fujo na kuwa kero.
me sijambo kichefuchefu tu chanisumbua, umeona eeehh kaichukulia simple tu. Me sijawah kushtaki kutongozwa ntajaza counter book. HahahaaaHahahahahah lol! Mzima wewe!? Mie namshukuru Mungu niko poa kabisa 🙂...Lazima atujuze hitimisho hilo amelifikiaje vinginevyo litakuwa halina mshiko wa nguvu.
naunga mkono hoja 100%.ulikwish akupendwa nini na ukafichiwa siri na kuna mahali ambapo ulitolewa nje na siri ikabandikwa magazetini au.............................nijuavyo wanawake wengi wakitongozwa wakubali au wakatae huwa siri yao ila wale wachache ambao hawajiamini na hivyo hutafuta umaarufu wa bei poa kwa kuonyesha ya kuwa wanapiganiwa na njemba kibao.....................................................................................haya ni maono yangu hayana utafiti wa kina...............................ni vyema nikaungama hapahapa
habari zenu wanajamii! Kuna hili swala la mwanamke alie katika mahusiano kutongozwa halafu anaenda kumshtakia kwa mpenzi wake! Hii inaweza ikawa ni sawa, ila ninavyojua mimi ni kwamba hapo mwanamke anakua hajakupenda ndo maana ameenda kushtaki. Akikupenda kamwe hatamueleza mumewe na itabaki kuwa ni siri yake na ataliwa uroda bila taabu yoyote. Mi navyoona ukutongozwa kaa kimya ni kawaida labda mtu akutongoze kwa kukufanyia fujo na kuwa kero.
BAK unataka research? Ok siku utakayomfuma mkeo amekunjwa kama 7 na dereva taxi ndo utapata majibu yake! Anyway nimesema wanawake wengi na sio wote. Haya mashtaka huwa yanatokea pale demu anapotaka kujionyesha kuwa yeye ni muaminifu.Umejuaje? ulifanya research? kwa muda gani? Je, unaweza kutufahamisha ukubwa wa sample uliyotumia katika research yako?
Mimi binafsi sikubaliani na mtoa mada. Kurepoti kua umetongozwa sio unafiki wala nini. Embu fikiria ukikuta message toka kwa best friend wako anamwambia mke wako: mbona ulinikataa? hata kama inaonekana mke wako alikataa lazima utamgombeza kwa kukuficha hicho.BAK unataka research? Ok siku utakayomfuma mkeo amekunjwa kama 7 na dereva taxi ndo utapata majibu yake! Anyway nimesema wanawake wengi na sio wote. Haya mashtaka huwa yanatokea pale demu anapotaka kujionyesha kuwa yeye ni muaminifu.
habari zenu wanajamii! Kuna hili swala la mwanamke alie katika mahusiano kutongozwa halafu anaenda kumshtakia kwa mpenzi wake! Hii inaweza ikawa ni sawa, ila ninavyojua mimi ni kwamba hapo mwanamke anakua hajakupenda ndo maana ameenda kushtaki na nia hasa ni kutaka kujionyesha kuwa yeye ni muaminifu. Akikupenda kamwe hatamueleza mumewe na itabaki kuwa ni siri yake na ataliwa uroda bila taabu yoyote. Mi navyoona ukutongozwa kaa kimya ni kawaida labda mtu akutongoze kwa kukufanyia fujo na kuwa kero.
me sijambo kichefuchefu tu chanisumbua, umeona eeehh kaichukulia simple tu. Me sijawah kushtaki kutongozwa ntajaza counter book. Hahahaaa