yaani Asprin umepinda wewe??
yaani nimeusoa huu uzi wote nilipofika hapa wewe na huyu nsee a muro mmeniacha hoi.
BTW usiku uko lindoni ama??
Pinda Mizengo will be appropriate...
Bandsia inakera hata kutazama
HAPO SASA NIKUFURUNamshukuru Mungu hajanijalia toto la kiume. Manake mwanangu wa kiume nimkute anajiremba. Namchapa risasi makalioni.
Wanaume tumeumbwa kufanya kazi. Mwanamke kaumbwa apendezeshe dunia. Mwanamke ni pambo la nyumba.
Wanawake wawe warembo, wanaume wawe wasafi. Nimesema mimi babu yenu. Na usafi wa mwanaume si wa mwili tu, bali wa vitendo pia. Amhudumie mwanamke wake kitandani mpaka ajisikie saffeyyy
Watu wanatafuta pesa yeye kazi yakulalama tu humu...
halafu watu wanajiuliza kwanini NAKUPENDA sana.....utaachaje kumpenda mwanaume kama wewe
na leo kama unakesha nakuja tukeshe wote wallahi
Teh teh.....
za Dar zote bandia and wamikoani nadhani wanaweza kuwa natural so tuta-prove ukija hiyo tarehe tano!
Wanaume wanao lalamika ni janga la taifa,,,,, hana hela ya kugalamia bandia ndo maana analalama mana uhondo wake anaukosa.
Hili wazo lako la leo....lol...mie hoi kabisa..
Wazo la leo ........" bila pesa mademu wazuri utaishia kuwaita shemeji"
hivi nsee a muro, wanaume showrum wanakuwaga na mkwanja?
au bado magumashi tu?
Amezaliwa ila anaelezea asichokipenda na yaweza kuwa wapo wasiopenda kama yeye!!!!
Ila hapo kwenye ikulu bandia ndio sijamuelewa!!!!
HAPO SASA NIKUFURU
WTF WAKIKE WAKAWA WANAKOBOANA?
If you have kids jst pray for them,
Mimi nilisema i will bear my own kid siku nikibadilika tabia.
B4 THAT HAPANA AS NAOGOPA ASIJE AKASADIFISHA TABIA YANGU MBAYA AND I THINK THIS IS THE BEST SOLUTION COMPARED TO HIYO YAKO
yaani Asprin umepinda wewe??
yaani nimeusoa huu uzi wote nilipofika hapa wewe na huyu nsee a muro mmeniacha hoi.
BTW usiku uko lindoni ama??
Tena janga la taifa.......ubahili utamuua,pafyumu yenyewe anatumia Simla!!!
hahaa umejua kinachoongelewa
anachanganya na kuluthum.
Labda wanadekezwa sana!!!
Teh teh Lugha elekezi tusizijue tena.....mambo ya P-aschal M-ayalla
Nimesoma between the lines,ngoja nikae kimya tu!