Hivi kweli nsee a muro, tuongee ule ukweli kabisa,
Haya umepitapita huko, ukatongozwa, na kibwana chenyewe kinachokutongoza ndo hicho,
cha kugombania na wewe lipshine, nail posh na enjo face sijui,
hivi kweli hapo unategemea kuna mwanaume hapo?
yumkini huyo hata kitandani huwezi jiuliza mara mbili kuwa atakutosheleza.......
Tatizo macho yenu yanadanganyika kwa vingi katika kila yanachoona.......poleni
YOUR VERY RIGHT DUDE!!,,,,,,,,,,,,,,,
Nililoba step truly nilikuwa na bwana wangu wa lingi sana yaani the guy was excellent, and smart kwenye kila eneo,
Sasa si unajua ibilisi nae ni mtu?,,,,,,,,,,,,siku nikamwona bonge la bwana mitaa ya shop flan hivi, bwana ananukia unyunyu wa kiume usipime, ana pozi nikasema lolest!! he is the man i deserve. Sinikajitupa mzima mzima alipoleta swanga za kunitongoza??
Tukaanza kudate, jaama ni kama vile unevyomwona Denzel washington, nikasema sasa naanza kuuza sura na mwanaume wa ukweeeh!! Si nikaanza kujishongondoa, ikawa ikitokea party naenda nae, mara tuna dine pamoja. Ila huku kote hatukuwashana tamaa.
Sasa katokea siku nikamchokoza, leo tukalale sote, jamaa mind you ni six pack la ukweli tukaonelea twende home kwake as hakuna haja ya kupoteza pesa kwa kulala hotelin. Kweli home kwake pako fresh si unajua geto la mtu wa mabling bling?? Na mie mwenyewe toto la migomigo uhuni wote wa mjini naujua, so sikuwa na papara.
Nikamwomba anionyeshe wash rum nikajimwagie maji basi nikamchokoza twende nae, basi akakubali mautundu yote ya bafuni jamaa kaa namfanyia mtoto vile dah!! nikasema labda kachoka ama baridi manake maji yalikuwa ya baridi. Kufika kwa bed, yani hana anachokijua kila nikjitahd mtoto wa kiume kachoka, nikasema labda leo kwa kua ni siku ya kwanza may be alijaza kichupa. Manake ilikuwa hachukui dk 3 kesha tema mzigo nikasema nisiwe na papara nimpe sec chance.
Next time kurudia game hali iko vile vile, basi awe na utundu wa ziada hana. nilidumu naye kwa miez sita nikachoka kabisa nikajisema siwez kuwa na kazi ya kufuga nyege.............NIKATUPA KULEEE
NDIPO NILIPOMKUMBUKA SANA X WANGU AMBAYE NILIMWACHA KWA KUPENDA WA SSHOW RUM.
mie ukija sijui na unyunyu, makucha umeyapolish sijui umetinda ntaishia kukuambia neno moja tu zungusha mtarimbo wako hadi mkiani ukurahatupishe mwenyewe.