Wanawake wengi ni bandia...

Status
Not open for further replies.
Misura ya bandia,mikucha ya bandia,minywele ya bandia na hata 'ikulu' za bandia. Halafu kwa kudengua motoooooo.Na kutembea kwa madaha ndio wenyewe. Hawana tofauti na maroboti....wanakereketa sana
Mkuu bila shaka kuna kitu wamekufanya mbaya, hayo maneno yako inaonekana kama vile umeathirika kisaikolojia, hivi hujui kama wanawake ndio pambo la dunia ?. Hivi hujui kwamba kujiremba kwao ndio kunatufanya sisi tuvutike zaidi kwao na kujiskia raha ?. Nina mashaka sana na wewe, itakuwa unawaogopa sana kuapproach wanawake warembo
 
Mwanaume halii lii wewe km vip nenda kwa hao natural
kwani kutwa kupepesa mijicho yako kuyatima hiyo miroboti nyooooooooooooooooooo
nyege zikikushika unakimbilia kwa hiyo miroboti, na miguno juuu kuwa umefikishwa unopataka
mixiuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
 
Wewe unaye mrembo hata mmoja? Urembo bandia huo ndugu yangu
 
Misura ya bandia,mikucha ya bandia,minywele ya bandia na hata 'ikulu' za bandia. Halafu kwa kudengua motoooooo.Na kutembea kwa madaha ndio wenyewe. Hawana tofauti na maroboti....wanakereketa sana

Taratibu bwa mdogo! hiyo roho ya kuwachukia wanawake inakuingia taratibu. Si wanawake wote bandia, ukiendekeza mawazo hayo utajikuta unawatamani wanaume wenzio ....... na itakuwa mbaya sana kwako!... take care
 
Umeguswa kweli naona. Bandia hadi ikulu!? Kweli wewe kiboko
 
Kujiremba sio lazima kwa mkorogo,wigi,makucha ya supagluu,na kadhia kama hizo!!!!!
 
Misura ya bandia,mikucha ya bandia,minywele ya bandia na hata 'ikulu' za bandia. Halafu kwa kudengua motoooooo.Na kutembea kwa madaha ndio wenyewe. Hawana tofauti na maroboti....wanakereketa sana

hangaika na hao wachache wasio bandia. utapata high blood pressure bure
 
Taratibu bwa mdogo! hiyo roho ya kuwachukia wanawake inakuingia taratibu. Si wanawake wote bandia, ukiendekeza mawazo hayo utajikuta unawatamani wanaume wenzio ....... na itakuwa mbaya sana kwako!... take care
Si kweli kuwa nawachukia.Nawakosoa ili wajirekebishe
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…