Juzi kuna mmoja ametangaza anatafuta mchumba, nikamwambia mm akaniambia njoo dm, sikuenda, akanitext dm, akaniambia nimtumie picha, nikamtumia, akaniambia kumetokea watu zaidi ya 20 lakini ww ndie nimekupa nafasi ya kwanza coz unanivutia, nilishtuka kwanza, nikajiuliza akilini mwangu huyu anatafuta mchumba ama handsome? Hapohapo ktk akili yngu nikamshusha thamani, akaniambia tena mm sipendi midevu nataka uyakate, nikamwambia ndevu zangu nazipenda kuliko kitu chochote, nikampotezea akaendelea kunitafuta, mwisho nilipomwambia ukweli kama niko nje ya nchi aliandika ukurasa wa masms mpka nikalogoff, yaani hakutaka tena mbwembwe

, anasema ivyoivyo ananitaka
Nikablock kama kawaida
Sent using
Jamii Forums mobile app