Wanawake wengi mnafeli hapa

Wanawake wengi mnafeli hapa

Nilishaliongea hilo jibu huko juu, ni kwamba anataka amcontro mm sio wa kucontroliwa na msichana hahahaha
Mkuu mbona wewe ndio unaonekana uko na tatizo!
Katangaza nafasi ukaitaka,ukaambiwa uende PM ukakosa ujasiri mdada akaja mwenyewe.
Ukaambiwa utume picha,Na wewe ukatuma bila hiyana.
Kama ukua tayari kwanini usingepoteza alivyokuja DM?

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom