Wanawake Wengi Miaka Hii wana matumbo makubwa-why?

Mkuu mbona mi nakula nyama na kitimoto na tumbo langu lipo flat? we muongo kama Muhongo

Endelea endelea tu mkuu kushushia kitimoto na bia, siku moja ukiamka asubuhi utakuja nyanyua tumbo kucheki kama "bado ipo".
 
images

HADI KARAHA

Wengi wao wanaona ni fashion, hawajui MEDICAL HAZARDS OF OBESITY.
 
Vyakula vya mafuta,chipsi yai especially,suruali za kubana tumbo na uzembe..upuka hvo hapo juu hutakuwa na ktambi...bt smtym maumbile,i eat a lot (naturals kw wingi) ,siendi gym bt my tummy is flat

Acha uandishi wa kitoto basi u mtu mzima sasa.cc SHIEKA
 
Last edited by a moderator:
Chezeya makuku ya kizungu na maji ya dhahabu weye!!!! Watu wanafutuka tu!!!
 
'mchanga' ndio hawezi kuchangi ama? mbona wewe umekomaa na bado huelewi unauliza

basi na with draw my statement, na pole kukukwaza..............heri wenye moyo safi............I like it
 
Ila wengi pia wameopt uzazi wa kisu. As a result wamejikuta haya majanga yakiwakumba sana plus no mazoezi full kujiachia.
Unajua wanawake wa mjini si sawa na wale wa kule kileji. Kileji wanawake wanapiga shughuli balaa. Kilimo, ufugaji, gulio, kazi na majumuiko ya hapa na pale yote yanahusisha kazi. Unajua wanawake wa zamani walikuwa wanaoga maji baridi mtoni. Siku hizi wote wako mijini washaharibu biashara za kilimo wanataka kushika mouse na wao watembee na tablet full kudonyoa. Where and where bhana?
 
Nimekuwa Baa moja jioni hii nikiangalia mechi ya Aston Villa na Man U, wanawake wote hapa wana matumbo makubwa, hakuna hata mmoja mwenye tumbo dogo yaani, nimejiuliza sana nikakumbuka nije nijenge hoja hii hapa jamvini

  1. je, Huenda ni pomb?
  2. au chips?
  3. .wapi Mzizimkavu?

Pumba hizo ndo zinaleta majanga (dawa za ngoma)
 
Inashangaza sana ambavyo wanaume hawaoni vitambi vyao vinakera. Uko na mtu anasema punguza tumbo lisije likazuia mambo yetu ukimuangalia lake limezidi kitambi cha kawaida na haoni kwamba linakera pia
 
umejipa ID inayoednana na wewe kabisa, yaani hapa ni full hekima, saluti mkuu

Back
Top Bottom