Wanawake Wengi mbadilike

Wanawake Wengi mbadilike

Ukweli kuwa wewe upo kwa ajili ya kuwapa wanawake hela? Hapans miimi nipo kwa ajili ya mambo mengi sana na kuwapa wanawake hela si moja ya sababu ya mimi kuwepo.
Ukweli kuwa wanatutegemea tuwape hela
 
Mwanamke atazaa kwa uchungu mwanaume ale kwa JASHO,kwa hiyo ww unataka upewe bure? Hata chupi kumnunulia hutaki,[emoji23][emoji23][emoji23]acha wale wenye vyao mkuu!!
 
Hiyo avatar yako kaweke fb,toka nianze kutumia jf sijawahi kuona mtu kaweka profile ya kiboya namna hii
We kiande nn unafatilia had profile huna kaz nn? Kama huna sema upewe kaz unapoteza mda kufatilia profile za watu fatilia maisha yako yatakusaidia
 
Mwanamke atazaa kwa uchungu mwanaume ale kwa JASHO,kwa hiyo ww unataka upewe bure? Hata chupi kumnunulia hutaki,[emoji23][emoji23][emoji23]acha wale wenye vyao mkuu!!
Haaa mkuu simaanish hivyo namaanisha urafik tu wakawaida na hata kama ni mapenz Kuna takiwa kuvumiliana weng hawana hilo
 
Hiv wanawake hamuwez kua na urafik na mwanaume had umuombe hela? Haf Ukiomba usipopewa et una Nuna Na urafik unapungua kwan Si tunaokota Hela? badiliken fanyen kazi Dada zetu.

Mkuu Badilika kwanini hautafuti pesa nyingi ili uhonge kimya kimya bila kuja mbio kulalamika JF kama kitoto kinachonukia maziwa[emoji35][emoji35] . Tafuta pesa uhonge wewee eti wanawake badilikeni tubadilike nini tuote mb**o au? Uvivu tu na umarioo unakuja kulia lia hapa hakuna papuchi za bure wee mtoto tafuta chapaaa Wenye pesa zao hawana hizi kelele zako.
 
Nakukumbusha hakuna urafiki wa simba na swala we mpe akiomba kama IPO.
 
Mkuu Badilika kwanini hautafuti pesa nyingi ili uhonge kimya kimya bila kuja mbio kulalamika JF kama kitoto kinachonukia maziwa[emoji35][emoji35] . Tafuta pesa uhonge wewee eti wanawake badilikeni tubadilike nini tuote mb**o au? Uvivu tu na umarioo unakuja kulia lia hapa hakuna papuchi za bure wee mtoto tafuta chapaaa Wenye pesa zao hawana hizi kelele zako.
😱😵umeongea kwa hasira kweli yani
 
Hivi wanawake wanakuwa na simu ngapi, wanaomba sana kununuliwa simu kwa madai kuwa walizonazo ni mbovu au ni za mama zao!!

Hivi vichekesho vyao hawa matapeli huwa nacheka sana!!

Tehe tehe tehe wapo wengine ukiomba mawasiliano utasikia, sawa ila simu yangu mic yake mbovu ha ha ha kuna wanawake hawajui hata kuomba pumbaffff
 
Back
Top Bottom