GOLDENSTONE
Member
- May 15, 2015
- 35
- 33
Hiv wanawake hamuwez kua na urafik na mwanaume had umuombe hela? Haf Ukiomba usipopewa et una Nuna Na urafik unapungua kwan Si tunaokota Hela? badiliken fanyen kazi Dada zetu.
Asa ndo umendika nini mkuu..??? Yan post ya kwanza tu umeanza na ushuzi...!!!Hiv wanawake hamuwez kua na urafik na mwanaume had umuombe hela? Haf Ukiomba usipopewa et una Nuna Na urafik unapungua kwan Si tunaokota Hela? badiliken fanyen kazi Dada zetu.
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji125] [emoji125]Haa ha ha...!! Yanii ukipata manzi leo keshoo anaumwaa...au mama ake anaumwa...Kama sio simu yake imeharibika bhasi atakwambia sio yakee... Yani nkiona mwanamke naonaa shida za pesaa pesaa tuu...
... ila wanaume mpo ili kutupa hela sisi.
Wabahili ndo wanapenda kuupinga.Honestly, huu ndo ukweli wenyewe japo wanaume wengi tunajaribu kupingana nao
Silent beggars!Hiv wanawake hamuwez kua na urafik na mwanaume had umuombe hela? Haf Ukiomba usipopewa et una Nuna Na urafik unapungua kwan Si tunaokota Hela? badiliken fanyen kazi Dada zetu.