MBITIYAZA
JF-Expert Member
- Jan 22, 2017
- 14,947
- 26,084
mshamba !alafu ukute hela yenyewe 4000/
mshamba !alafu ukute hela yenyewe 4000/
Yani siku hizi nikikupa hela mara 2 nkikuvuaaa bhasi juaa helaa hupati tena...!! Haa ha...Hiyo kuwahiana tu maana nisipo wahi mim kuomba hela utaanza wewe kuomba papuchi ...... bora nikupeperushe tu !!
Au vocha ya 1500mshamba !alafu ukute hela yenyewe 4000/
hahaa hapo chacha !afu anakuja anzisha uzi huku !Au vocha ya 1500
Ahahahaaaaaamshamba !alafu ukute hela yenyewe 4000/
arghhhhhhhhhhhhhh majanaume yta hvy mie yapite hiviAhahahaaaaaa
Sijui ndio ilikuwa kwa ajili ya nini kibajaji au?
Ahahahaaaaaaarghhhhhhhhhhhhhh majanaume yta hvy mie yapite hivi
pyee si ndio mana nikarate kwenye 4000.?Ahahahaaaaaa
Alafu walalamikaji dizain ya mtoa mada hawanaga hata shilingi mifukoni mwao [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ahahahaaaaaa hicho kiwango ni sahihi kabisa mydearpyee si ndio mana nikarate kwenye 4000.?
Kweli we new member[/QU
Yah ulikua hujui [emoji6][emoji6]
Inaonesha unapenda sana kunya? Na kujamba eh[emoji23][emoji23] yan had umewaza ushuzi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Asa ndo umendika nini mkuu..??? Yan post ya kwanza tu umeanza na ushuzi...!!!
Tulia Wewe usingezaliwa bila baba ako kua na urafik na mama akoNaww unataka urafiki na mwanamke wa nn?!
Haha joh nimecheka sana yan me sahiv had kumwomba dem namba naogopa yan Unakufa leoleo kizinga usitume huone huon text wala beeping hahaHaa ha ha...!! Yanii ukipata manzi leo keshoo anaumwaa...au mama ake anaumwa...Kama sio simu yake imeharibika bhasi atakwambia sio yakee... Yani nkiona mwanamke naonaa shida za pesaa pesaa tuu...
Haha hiyo kal sana joh me nahis watakuaa ma store keeper wa simuHivi wanawake wanakuwa na simu ngapi, wanaomba sana kununuliwa simu kwa madai kuwa walizonazo ni mbovu au ni za mama zao!!
Hivi vichekesho vyao hawa matapeli huwa nacheka sana!!
Itabid njifunze kwako MuheshimiwaHujui jinsi ya kuwajibu mi nawaambia are you serious asking me money