bandamo
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 1,931
- 1,370
Kasema yanayo msumbua na ambayo yana ukweli hata vocha wanaomba wapunguze dhikiAsa ndo umendika nini mkuu..??? Yan post ya kwanza tu umeanza na ushuzi...!!!
Kasema yanayo msumbua na ambayo yana ukweli hata vocha wanaomba wapunguze dhikiAsa ndo umendika nini mkuu..??? Yan post ya kwanza tu umeanza na ushuzi...!!!
Ndo mnavyosema mkihongwa wala hamsem tena kwan mnauza nin dada Hamtutakii memaNyuzi kama hizi zimeshapitwa na wakati sasa.
Me sio tu kuwazea na nawaogopa[emoji23][emoji23]Hamjatuzoea tu??
That real Friend big up yaonesha huyo sijui sio mwenzetu au nae anapiga vibomu[emoji23][emoji23]Kasema yanayo msumbua na ambayo yana ukweli hata vocha wanaomba wapunguze dhiki
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]That real Friend big up yaonesha huyo sijui sio mwenzetu au nae anapiga vibomu[emoji23][emoji23]
Hahahaha Bro hope wanasoma me sikuhiz nimekoma kuomba namba yan kulalalek ukiona msg nyiiiing jua mwisho utaskia naumwa mala sim yangu mbovu yanTena waambie kabisa na wakome!
Hatupendi ujinga sisi.
Haha[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Mwengine unamwambia Kwan unauza tufanye biashara kama ndo anajifunza kudanga atakataa ndo dawa ya Hawa viumbe au unamwambia "Sina " picha linaisha. Ujinga wa mademu wakibongo ukiwapa pesa wanakuita danga au kusema nimemlia pesa yake Sasa we unampa kwa roho njema yeye anakudharau so dawa Moja ni uchoyo akikusumbua sana mwambie ajitangaze yeye ombaomba tuanze kumchangiaItabid njifunze kwako Muheshimiwa
Haha joh joh huo ni Ukwel mtupu yan Unakufa anashindwa tu kukwambia kua anajiuza bola wafanya kaz tu tutegemeaneMwengine unamwambia Kwan unauza tufanye biashara kama ndo anajifunza kudanga atakataa ndo dawa ya Hawa viumbe au unamwambia "Sina " picha linaisha. Ujinga wa mademu wakibongo ukiwapa pesa wanakuita danga au kusema nimemlia pesa yake Sasa we unampa kwa roho njema yeye anakudharau so dawa Moja ni uchoyo akikusumbua sana mwambie ajitangaze yeye ombaomba tuanze kumchangia
Kila manzi unaeanza kuwasiliana nae basi jua birthday yake imekaribia.Hahahaha Bro hope wanasoma me sikuhiz nimekoma kuomba namba yan kulalalek ukiona msg nyiiiing jua mwisho utaskia naumwa mala sim yangu mbovu yan
[emoji23][emoji23] afu ikipita anasahau kua miez michache alikwambia anataka zawad tenaKila manzi unaeanza kuwasiliana nae basi jua birthday yake imekaribia.
Sihitaji marafiki wa kike, labda badae wakitokea.....
Inshort ukiwaendekeza kamwe hutoendelea kimaisha zaidi ya kubaki ulivyo au kurudi nyuma zaidi.[emoji23][emoji23] afu ikipita anasahau kua miez michache alikwambia anataka zawad tena
Hiyo big point joh yan nimejifunza wanaume changia kutoendelea kwa mwanaume tena ukiwa na mwanamke asiejua Thaman Ata ya sh100Inshort ukiwaendekeza kamwe hutoendelea kimaisha zaidi ya kubaki ulivyo au kurudi nyuma zaidi.
Binafsi mdudu anayeitwa mchepuko ctaki kabisa kumsikia, hata mwanamke nnaeishi nikiona haelekei ktk kutimiza ndoto za mafanikio natupilia mbali.Hiyo big point joh yan nimejifunza wanaume changia kutoendelea kwa mwanaume tena ukiwa na mwanamke asiejua Thaman Ata ya sh100
Babu ukiona hivyo tu hamna kingine ni mtonyo tu yan wanawake wa ku hustle ukiwapata ni kuwaganda tu na wako adimu sana yan mjinBinafsi mdudu anayeitwa mchepuko ctaki kabisa kumsikia, hata mwanamke nnaeishi nikiona haelekei ktk kutimiza ndoto za mafanikio natupilia mbali.
Wapo wanawake wanaojua kutafuta na waume zao ila hivi vya siku hizi utavisikia....
"Baby kuna kitu nataka nikwambie cjui utakubali?"
Hiyo avatar yako kaweke fb,toka nianze kutumia jf sijawahi kuona mtu kaweka profile ya kiboya namna hiiTulia Wewe usingezaliwa bila baba ako kua na urafik na mama ako
Ukweli kuwa wewe upo kwa ajili ya kuwapa wanawake hela? Hapans miimi nipo kwa ajili ya mambo mengi sana na kuwapa wanawake hela si moja ya sababu ya mimi kuwepo.Honestly, huu ndo ukweli wenyewe japo wanaume wengi tunajaribu kupingana nao
Avatar yake inaonesha hela, zako mara nyingi zinaonesha viatu....Hiyo avatar yako kaweke fb,toka nianze kutumia jf sijawahi kuona mtu kaweka profile ya kiboya namna hii