kwasababu gharama,pia Inakuwa zipo juu... Sasa hakuna jinsi. Ukiringa hupati lazma,ulegeze Uzi. na msipende kutuimba kama vipi.... Lwahiyo mshazoea tuwasumbue au?Nakuelewa Belle Kaiya, Ila kwanini mjirahisishe hivi kipindi cha sikukuu?
Nice Risenshine,
That means you have to swallow back your false accusations
Sweetheart usiwape hata senti tano then acha mazoea na hao wanawake unanifanya niwe na wivu. Haf honey unajua hatujapanga kuhusu sikukuuu
Teh teh nitaenda na wewe popote utakapo honeyHah hah hata usiwe na wivu my mamito hamna kilichoharibika,
Kuhusu sikukuu unaonaje ukijiunga na mimi twende kijijini kwetu?
I can understand your philosophy but my statements doesnt in anyway degrade women
Mostly wanaomba bcoz they think they have something to trade it with, if not wangeomba wanawake wenzao
We unataka ni-sympathyze na mfumo uliokuwepo kabla? Unafikiri hawa watu wote hawajaenda shule au chuo? au unafikiri wote hawana kazi?
Umejibu vyema sana!
Otherwise, I admire 'Valentina' this is because she dont take this thread as offensive, excuse my choice of language, ni pm mimi nikutoe tu mkwanja wa sikukuu, hata usinipe 'kidude' sawa tu.
The Boss, nitapendekeza kwa Invisible tutoe zawadi kwa mtoa hoja bora wa mwaka JF, kura yangu unayo mkuu, kuanzia jukwaa la siasa hadi huku MMU.
'Hela ya sikukuu' ndio nini?
Warmly welcome!!Teh haya bana,ngoja nije kuchangamkia fursa
😕Warmly welcome!!
Vipi Warren?!, nimekuwahi au?
tunalegeza coz hiyo low seasontunalegeza coz hiyo Ni low season😁😁😁😁Kama mmeamua kulegeza uzi, mlegeze mwaka mzima mwanzo mwisho