Cyclopedia
Member
- Nov 11, 2015
- 25
- 41
Kwa nini ubebe mimba ya mtu ambaye hajaitaka!!
Kisa kinaanza kuna mwanamke mmoja (mchepuko) nilikuwa na mahusiano nae siku moja niliruka nae ila kabla ya sex alinihakikishia kuwa ana kijiti cha uzazi wa mpango ila kushangaza siku ya jana sina hili wala lile naona sms inaingia anadai ana ujauzito. Nilipohoji kuhusiana na kijiti alicho nacho anadai kiliisha muda toka tar 06/10. Na hapa wife pia ni mjamzito yaan nimebaki njia panda.