tuna tabia chafu,midomo michafu,mawazo machafu kama huamini tembelea mablog yetu ya wadada wa mjini...sinta au uturn au blog yoyote uone tunavomwaga macomments ya kimatusi.hivi tutaleaje watoto wamama tumekosa adabu hivi?tupo tu kama vichaa tuliotoroka wodini.
asilimia kubwa tunaliwa tigo.
tunatembea na wadogo zetu,baba zetu na hata baba zetu ilimuradi tupate tu pesa
tubadilikeni
shogaaa na hivo sms senti sio issue kabisa mwanamke kuwa na matusi.tutaleaje watoto wa watu?Utakuwa umefanya la maana, hebu wataje tuwajuwe!
bora usiende my dear.ishia hapo hapoDoes it occur to you that kuna wanawake mjini ambao hawatembelei hizo blog unakoonea huo uchafu?
Hizo blog ni za nini? Yaani wanaongelea nini hasa? Ni za siasa? Usanii? Ni za harakati? Au za udaku na umbea?
Huwezi kwenda at a waste dump site and say they are representative, and expect to find jewels there.
DIsclaimer: I have never been to those blogs (for my credit) and so sijui kama ni chafu au safi. #JustSaying
kizazi cha digitali😛ainkiller:Ya ngoswe umwachie ngoswe jichunge wewe usitoe matusi wengine waache wayatoe ni mojawapo ya starehe zao....kuna tatizo????
Na wengi hawaendi, trust me. So kusema wanawake wengi hawana adabu sababu wachache wali tukana kule (say a 100 followers)is unfair. kuna ambao walienda na hawakutukana. Kuna ambao hawakwenda huko kabsa. wengi hata internet hawana, tuanzie hapo.bora usiende my dear.ishia hapo hapo
mmmmmh
mimi sipo
wapo sana hata humu au niwataje?
asante kwa kututetea,sio wa huku
asante kwa kututetea,
ukweli sina hata tabia moja ya hayo uliyosema.
Zaidi ya JF na FB hakuna sehemu nyingine natoa comments....
matusi siyawezi......
zaidi ya mume wangu sina mbaba wala mdogo ninayetembea naye....
tigo? mmmhh! hiyo siifagilii kabisaaaa....
najua kuna wengi tu humu wapo kama mimi.
hao wenye hizo tabia ulizozisema naamini wanaweza kubadilika, tuwaombee tu ili watoto wetu pate malezi bora, maana mama ndo kila kitu
siyo kujitetea, ukiangalia ni kwamba nilikuwa najibu kila hoja yake.umehitahidi kweli kujitetea..... haya tuma salam kwa watu watatu!!!
hiyo ndo nini mtani? nipo serious.....We angalia hata yule dada mkuu wa mjengoni alivyo na vijembe...wanawake sio siri mnaendekeza sana tabia za kuku mwenye vifaranga...muda wote huwa mwapenda kujitutumua...juzi kati tu hapa kulikuwa na thread kaianzisha mdada mmoja humo ndani ilikuwa sijui ni mashindano ya kuchonga ngenga...yaani full mipasho
tuna tabia chafu,midomo michafu,mawazo machafu kama huamini tembelea mablog yetu ya wadada wa mjini...sinta au uturn au blog yoyote uone tunavomwaga macomments ya kimatusi.hivi tutaleaje watoto wamama tumekosa adabu hivi?tupo tu kama vichaa tuliotoroka wodini.
asilimia kubwa tunaliwa tigo.
tunatembea na wadogo zetu,baba zetu na hata baba zetu ilimuradi tupate tu pesa
tubadilikeni