kelvinvevo
Senior Member
- Sep 12, 2021
- 132
- 438
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Halafu havijiamini havina confidence. Yana maringo ya kujilazimisha, makasiriko na kujifanya defensive mechanism.
Wamebaki kupendwa na mibabu mizungu uchwara iliyostaafu kubeba boksi.
Tukaishi wapi sasa😔😔Natoa Amri ,wa aina hiyo wote wafukuzwe mjini
Vijijini wakalime.Tukaishi wapi sasa😔😔