Wanawake wazuri wote wameolewa..

Ninashida moja kila mwanamke nitakayemuona nimzuri na anamvuto kwangu naambiwa tayari alikwisha kuolewa au amechumbiwa..

Najiuliza kwa hiyo wanawake wabaya wote ndiyo hawajaolewa au kuchumbiwa?

Tambua hili Kama haujaolewa au kuchumbiwa na wewe nakuweka kwenye group la wanawake wabaya na wasiokuwa na mvuto kwangu..

Ina maana umezunguka UDOM, UDSM, IFM, DIT, St Johns, SAUT, CBE nk na kote huko ukakuta wazuri wote wameolewa? Inawezekana unavutiwa sana na wale ambao tayari wana ndoa na ndiyo maana haupati muda wa kukutana na kuvutiwa na wale walio single!
Take care, utaumia.
 
Teh teh teh!
Huyu kweli anaonekana anamendea wake za watu...ni sumu,shauri yako..
 
Tengeneza na wewe wa kwako, kwani gharama yake na kero ni kubwa maana nywele tu zaidi ya 20,000/= kwa wiki bado make-up na gari analoendesha mafuta yake usiweke halafu ww unataka kuja kuvua chupi ya malaki, na ujue zote zinafanana utamaliza mabucha ya nyama na nyama ni ileile
 
Kumwita mtu yeyote mbaya ni makosa na nikumkosoa Mungu aliye wa umba! Wadada achanen na huyu limbuken, hakuna mwanamke mbaya dunian, hao uliwaona niwa zur ni kwasbbu wametunzwa, huyo unayemwita mbaya leo akipata matunzo lzma ujigonge
 
wazuri? Ukiona vyaelea vimeundwa...........tafuta mbaya halafu unambadilisha anakuwa kama malikia,
starehe gharama huwezi kaa pembeni waachie wenye nazo
 
na ukimuona demu mzuri umempenda fanya fwasta, watu wanajua sana kuwahi vitu vizuri,

utashangaa unakutana naye miezi kadhaa ijayo ana pete kidoleni, au pia na kitumbo ndii,
 
Ninashida moja kila mwanamke nitakayemuona nimzuri na anamvuto kwangu naambiwa tayari alikwisha kuolewa au amechumbiwa..

Najiuliza kwa hiyo wanawake wabaya wote ndiyo hawajaolewa au kuchumbiwa?

Tambua hili Kama haujaolewa au kuchumbiwa na wewe nakuweka kwenye group la wanawake wabaya na wasiokuwa na mvuto kwangu..

Unajua kwanini unaowatamani wote wameolewa au wamechumbiwa??? ni kwasababu wanahudumiwa. Tafuta wako umuhudumie na ukalishe ma.ako chini.
 
Kumbe vichaa nao wako jf..!

Nimeshindwa kukuelewa...labda ni hii njaa...

Una matatizo wewe,ndo mana hupati wa kuoa!

Kwa hiyo mimi nilizaliwa accidentally? Lol!

job true true

We kweli dodoso. Kama na wewe huna pesa hao wanawake wazuri utaishia kuwaona kwenye tv

Hehehehee shughuli ni watu haki ya Mungu!

Teh teh teh!
Huyu kweli anaonekana anamendea wake za watu...ni sumu,shauri yako..

Tengeneza na wewe wa kwako, kwani gharama yake na kero ni kubwa maana nywele tu zaidi ya 20,000/= kwa wiki bado make-up na gari analoendesha mafuta yake usiweke halafu ww unataka kuja kuvua chupi ya malaki, na ujue zote zinafanana utamaliza mabucha ya nyama na nyama ni ileile

Na wanaume wazuri wote wameoa

Itabidi ufanye booking azaliwe wako pekee

Unajua kwanini unaowatamani wote wameolewa au wamechumbiwa??? ni kwasababu wanahudumiwa. Tafuta wako umuhudumie na ukalishe ma.ako chini.
:spy:

Gademu!! Nafanya sensa ya kujua wanawake wa JF walioolewa then nijue la kufanya. Ahsante jamii01 kwa hii yuziful sredi
 
Last edited by a moderator:
jamii01, mimi sijaolewa kwa sababu kama hizo wewe unazoziona kwa wadada wengine.
 
Last edited by a moderator:
Hivi unajua ukizidisha sana nyeto wanawake wote wabaya.jamani wakina dada msameheni bure.ameathirika na kupiga nyeto.ni hayo tuu.
 
Lazima utakuwa na makengeza wewe..
Wasichana wazuri wote hawa unasema uwaoni?
 
Umeanza vizuri lakini hitimisho lako ni hatari. Huwezi kusema kuwa mwanamke kabla hajaolewa ni mbaya. Basi na hao walioolewa unaowaona wazuri kuna kipindi hawakuwa wameolewa. Kuolewa au kutoolewa hakutokani na ubaya wala uzuri wa mtu bali mwenye kutaka kumuoa ndiye anajua uzuri au ubaya huo unaousema. Tujitahidi kufanya utafiti na kutoa hoja zenye kujenga na si hoja za jumla na za kukata tamaa zenye kubomoa na kumislead.
Mwanangu jitahidi utampata wa kuoa maana kuna usemi kuwa wazuri bado hawajazaliwa.
 
Back
Top Bottom