Habari wakuu,
Yamenikuta mwanaume mwenzenu, katika harakati za kuchepuka nikipiga mahesabu ndani ya miezi hii mitatu nimetoka na wanawake zaidi ya 20. Matokeo niliyoyapata ndio yamenifanya nibaki njia kuu.
Nimepata ugonjwa wa Genital Warts, ni kama vinyama nyama vinatokea kwenye uume, niko naendelea kutumia dawa.
Juzi nilikuwa mkoa wa Kanda ya Juu, nikajifanya malaya wa kutembea na wadada wa buku 10 ovyo, sijaamini nimekitana na gono siyo la nchi hii. Hapa nilipo natumia AZUMA imeisha, nimeamua kuchoma Ceftriaxone.
Wakuu tubaki njia kuu.