Wanawake wazuri wamenipa Genital Warts na Gono

Habari wakuu.

Yamenikuta mwanaume mwenzenu katika Harakati za Kuchepuka ni kipiga mahesabu ndani ya miezi hii mitatu nimetoka na wanawake zaidi ya 20.

Matokeo niliyoyapata ndio yamenifanya nibaki njia kuu.

Nimepata ugonjwa wa Genital Warts ni kama vinyama nyama vinatokea kwenye uume.niko naendelea kutumia dawa.

Juzi nilikuwa mkoa wa kanda ya juu..nikajifanya malaya wa kutembea na wadada wa buku 10 ovyo sijaamini nimekitana na Gono sio la nchi hii hapa nilipo natumia AZUMA Imeisha nimeamua kuchoma Ceftriaxone.

Wakuu Tubaki njia Kuu
Ulizama chumvini? Midomo na koo ni salama? Hujasmbukiza njia kuu??
 
Habari wakuu,

Yamenikuta mwanaume mwenzenu, katika harakati za kuchepuka nikipiga mahesabu ndani ya miezi hii mitatu nimetoka na wanawake zaidi ya 20. Matokeo niliyoyapata ndio yamenifanya nibaki njia kuu.

Nimepata ugonjwa wa Genital Warts, ni kama vinyama nyama vinatokea kwenye uume, niko naendelea kutumia dawa.

Juzi nilikuwa mkoa wa Kanda ya Juu, nikajifanya malaya wa kutembea na wadada wa buku 10 ovyo, sijaamini nimekitana na gono siyo la nchi hii. Hapa nilipo natumia AZUMA imeisha, nimeamua kuchoma Ceftriaxone.

Wakuu tubaki njia kuu.
Umekosaje kupata UTI .wakati UTI miaka hii karibia wanawake wengi wanayo
 
Habari wakuu,

Yamenikuta mwanaume mwenzenu, katika harakati za kuchepuka nikipiga mahesabu ndani ya miezi hii mitatu nimetoka na wanawake zaidi ya 20. Matokeo niliyoyapata ndio yamenifanya nibaki njia kuu.

Nimepata ugonjwa wa Genital Warts, ni kama vinyama nyama vinatokea kwenye uume, niko naendelea kutumia dawa.

Juzi nilikuwa mkoa wa Kanda ya Juu, nikajifanya malaya wa kutembea na wadada wa buku 10 ovyo, sijaamini nimekitana na gono siyo la nchi hii. Hapa nilipo natumia AZUMA imeisha, nimeamua kuchoma Ceftriaxone.

Wakuu tubaki njia kuu.
Huu ni Ujinga mtupu
 
Ukiendelea na tabia hiyo huna miaka minane tunakuzika..nikuulize pombe kali unatumia ukiwa unasomba hio mizoga?
 
Habari wakuu,

Yamenikuta mwanaume mwenzenu, katika harakati za kuchepuka nikipiga mahesabu ndani ya miezi hii mitatu nimetoka na wanawake zaidi ya 20. Matokeo niliyoyapata ndio yamenifanya nibaki njia kuu.

Nimepata ugonjwa wa Genital Warts, ni kama vinyama nyama vinatokea kwenye uume, niko naendelea kutumia dawa.

Juzi nilikuwa mkoa wa Kanda ya Juu, nikajifanya malaya wa kutembe
Habari wakuu,

Yamenikuta mwanaume mwenzenu, katika harakati za kuchepuka nikipiga mahesabu ndani ya miezi hii mitatu nimetoka na wanawake zaidi ya 20. Matokeo niliyoyapata ndio yamenifanya nibaki njia kuu.

Nimepata ugonjwa wa Genital Warts, ni kama vinyama nyama vinatokea kwenye uume, niko naendelea kutumia dawa.

Juzi nilikuwa mkoa wa Kanda ya Juu, nikajifanya malaya wa kutembea na wadada wa buku 10 ovyo, sijaamini nimekitana na gono siyo la nchi hii. Hapa nilipo natumia AZUMA imeisha, nimeamua kuchoma Ceftriaxone.

Wakuu tubaki njia kuu.
kaka pole sana, Genital Warts, husababishwa na mdudu kitaalam anaitwa Human papillomavirus (HPV-1 au 2), ni ugonjwa mdogo lakini unaambukiza kwa urahisi na matibabu yake kiukweli ni magumu sana... hatari yake kubwa sana lazima uutibu kwa haraka vinginevyo uko uwezekano wa kupata CANCER ya haja kubwa.... hakikisha nguo za ndani unazifua mwenyewe na maji ya moto, kwani hivyo viotea vina tabia yakukatika na kubaki kwenye nguo pamoja na damu... vinginevyo ni rahisi kuambukiza wengine, sio kwa njia ya ngono tu.
 
Back
Top Bottom