Msaada: Kutibu ngozi iliyoungua kwa Podowarts

Mfalme king

New Member
Apr 7, 2021
2
1
Habari zenu wanajukwaa.

Naomba niende moja kwa moja kwenye mada.

Nilipata maambukizi ya GENITAL WARTS baada ya kwenda hospitalin nikapewa dawa aina ya podowarts 10ml, baada ya kutumia imeniunguza sana sehemu za siri na kupelekea ngozi ya juu kutoka.

Naomba msaada wa anayejua dawa ya kuondoa maumivu kwenye hii ngozi ilobaki maana nahisi kama inawaka moto.
Nimetumia dawa za hospitalin (MEBO pamoja na Ibuphen) lkn maumivu bado ni makali sana.

Natanguliza shukrani.
 
Rudi tena hospitali haraka!!
 
Back
Top Bottom