Wanawake wavivu kitandani mnaboa

[emoji2] [emoji2] [emoji2] ndio hivyo best.
Nakuunga mkono.
Mwanamke akiandaliwa vizuri alafu mwanaume akawa anaujua mchezo vyema, wala hakutakuwa na haja ya kumwambia geuka au kaa hivi au vile..... Kwa ishara kidogo tu unakuta ameshageuka
 
Mmmh. Mie naona kikubwa ile raha ipatikane tu hizo kunja kunja zaweza kuwepo ila badala ya raha ikageuka kuwa karaha.

Pia punguzeni kuiga kwa wazungu sababu wale wanafanya biashara.
Mwenzangu acha wakiangalia huko sasa wanakuja kwenye practical work [emoji28] [emoji28] [emoji28]
 
Penye miti mingi hapanaga wajenzi
 
Kabisaaaaa. Yaani mzijali tu ili wote tupate hiyo raha na sio mmoja kakunjwa na kubaki kusikilizia maumivu huku mwingine anafurahia kumkunja mwenzie.
Siku yeye kachoka naye mwenzie ataenda kutafuta wakumpa hizo style
 
Nitakuja pm kukufafanulia
Maana si madogo
Na bado zipo nyingi tu
Kama ni baskeli kaa kwenye bomba ya mbele
Si umeongelea hapa leta ufafanuzi hapa hapa tunafuatilia wengi
 
mimi ndo wana niuzi kinoma unakuta unamwa mbia umeshidwa basi kubadilisha staili basi angalau nijambie basi ata ushuzi bado nayo ataki nyie wana wake mna nini lakini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…