King’asti
Platinum Member
- Nov 26, 2009
- 27,823
- 24,803
Wanaopenda mashoga na kuwatumia wamo humu tele, mnajikausha tu na kuwaponda the same way mnavyoponda facebook! Sasa wanatukimbilia sie kwa story na emotional support, ila kwa ngono wanawakimbilia nyie! Mnashindwa kuwakataa?
Wakiona jamii imewakataa hawatawafuata wanaume tena lakini wao wanaona nyie ndio kimbilio lao