Wanawake watengeni mashoga waache tabia yao chafu

Ntonye ushawahi kaa na mshoga akakueleza alianzaje..ukiacha yule wa jf

Wengi wao husingizia eti alianzishiwa mchezo huu akiwa boarding, wengine eti alibakwa, wengine eti wamezaliwa wakajikuta wako hivyo, hawa wote ni waongo tamaa zao ndio zinawaponza mbona wakati tuko vijijini hii tabia haikuwepo ipo mjini tu inamaana watu wa mjini ndo wako hivyo
 
Hawa wakiisha acha hii tabia ni mwanaume gani atawafuata ujue mwanaume ni sawa na fisi anaenda pale aonapo mzoga asipo uona anaenda zake, sasa waache kwanza wao na nyie mkisaidia katika kuwafukuza kwenye vijiwe vyenu
Basi endeleeni kula 'mizoga' maana kwa wengine ndio saizi yao. Kusipokua na mpokeaji hakutokuwa na mtoaji. . .Walaji wakiacha walwaji nao wataadimika.
 
Basi endeleeni kula 'mizoga' maana kwa wengine ndio saizi yao. Kusipokua na mpokeaji hakutokuwa na mtoaji. . .Walaji wakiacha walwaji nao wataadimika.

Hivi ukienda maduka yote ukakosa mchele utaendelea kuutafuta si unaachano nao unanua chakula kingine? Waache kwanza wao waone kama watafuatwa
 
Hivi ukienda maduka yote ukakosa mchele utaendelea kuutafuta si unaachano nao unanua chakula kingine? Waache kwanza wao waone kama watafuatwa

Haya sasa ni mashindano yasiypweza pata mshindi.

Ngoja nilale mie.
 
Hilo la ushoga ni tatizo.kuwakataa,kuwatenga au kuwafukuza sio suluhisho la tatizo.Tunapaswa kuwa nao na kujua jinsi ya kuwashauri na kuwasaidia kwani wanahitaji sana msaada...
 
ukiwa na stress zako,ukizungumza na shoga,wanasaidia kupunguza stress.wana maneno ya kuchekesha.na unakuwa na uhakika wa kutokusumbuliwa kutongozwa
 
ukiwa na stress zako,ukizungumza na shoga,wanasaidia kupunguza stress.wana maneno ya kuchekesha.na unakuwa na uhakika wa kutokusumbuliwa kutongozwa

Umeona sasa mnavyowalea hawa viumbe sasa tukisema nyie ndo mnawalea tutakuwa tunakosea?
 
ukiwa na stress zako,ukizungumza na shoga,wanasaidia kupunguza stress.wana maneno ya kuchekesha.na unakuwa na uhakika wa kutokusumbuliwa kutongozwa

kweli kisukari afu wana roho nzuri sana.kwanza mi nawapenda coz wananiambiaga bwana zao.kuja mbaba alikuwaga ananifukuzia wee siku ya siku 'anti hamisi' akaniambia, ee shoga kumbe unamfahamu uyu baba ni shemeji yangu kwa 'anti issa', yaani nilichoka mbaba mwenyewe ana mke na watoto 3
 
Mashoga sio wa kuwaamini hivo shauri zenu.. nikupe story .. nilipokuwa chuoni kulikuwa na shoga kila mtu anamfahamu sababu nchi za wenzetu huku wanawaona wa kawaida so alikuwa asumbuliwi kivile. Yule shoga kuna siku alitoka na kijana wa ki Mexico ambaye ni boyfriend wa best yake "ni mwanamke" alienda kumnywisha pombe Yule kijana sijui na madude gani akalala na Yule kijana .... Kesho kukawa na ugomvi kati ya binti lile khanith..

My point msiwaamini hawa watu mtachukuliwa waume zenu faster ..
 
hawa ma''PUNGARADES'' haina haja ya kuwalalamikia wanawake kisa wanawapa kampan... Wakujilaumu ni sisi madume tunaowageuza hadi tunatimiza hilo jina lao mashoga/pungarades/bwabwa/c rizki/mtoto wa wato/mpapai/chele/mtoto wa watu/anti etc
 
Wengi wao husingizia eti alianzishiwa mchezo huu akiwa boarding, wengine eti alibakwa, wengine eti wamezaliwa wakajikuta wako hivyo, hawa wote ni waongo tamaa zao ndio zinawaponza mbona wakati tuko vijijini hii tabia haikuwepo ipo mjini tu inamaana watu wa mjini ndo wako hivyo

sio kwamba kaanzishiwa boarding huu mchezo utokana na vichochezi.mfano hao wanaume wanaokaa kwe vijiwe na wanategemea nini kama sio ushoga.
 
Wanawake mimi nawaheshimu sana lakini katika mnanikasirisha sana. Wanaume wanaojihusisha na matendo ya kishoga mara nyingi marafiki zao ni wanawake hawa wanakao nao na hivyo kuwapelekea na wao kujiona wanawake, huwezi kukuta shoga yupo kijiwe kimoja na wanaume kamili huyu utamkuta yuko kwa wanawake. Hivi mnaaonaje na nyie mkawafukuza kila wanapowafuata ili waache hii tabia?

Hakuna sababu yoyote ya kumfukuza kama anajisikia/sikia kama mwanamke. Ni vichocheo ndivyo vinavyomfanya hivyo. Pia usisahau kuwa kuna wanawake wenye vichocheo vingi vya kiume na huyo ni mwanaume kwa ndani. Bahati mbaya tu amezaliwa mwanamke. Sawasawa na mashoga, hao ni wanawake kwa undani wao ila tu wamezaliwa na mwonekano wa kiume.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom