'Wanawake wasomi wanatoka nje zaidi ya wanaume...'

Tuanze na vioo vya jamii Makina na Sophia Simba wameolewa?

kwani kuolewa ni sign ya utulivu? ni swali gani hilo unauliza? watu wameolewa na bado ni vicheche! na wengine wako single na ni watulivu!
 
promiscuousness...IT BEGINS WITH YOU...MEN/WOMEN...hivyo vingine:kazi nzuri, package nzuri ya mshahara, magari n.k ni VICHOCHEO tu!
 
Mimi naunga mkono huu utafiti. Usomi unampelekea mwanamke kuajiriwa ofisini na ofisini hakuna asiejua kwamba ndio transit za kuelekea gesti hauzi. Haya tunayoyaona ofisini usizani ni maigizo bana ndio hali halisi yenyewe
arifu uanonekana dhauifu sana aiseee.....kama hizo ndio idea zako aiseee.....mbona mama yako aliajiliwa....au na yeye......??
 
Salaamu wanajamvi,

Nami nikaona sio vibaya leo kukatiza kwenye jukwaa hili. Na hii ni juu ya wenzetu wadada na wamaa walioenda shule tukitarajia ingesaidia kuimarisha familia na mahusiano yao.

Wameenda shule. Wana kazi zenye hadhi kubwa na mara nyingi wakiendesha magari ya kisasa. Lakini nyuma ya pazia la haya yote, wanawake waliosoma wanajihusisha na udanganyifu kwenye mapenzi (mahusiano) zaidi ya wenzao wasio elimika, kulingana na takwimu mpya zilizopatikana.

My take:
Mazingira ya wenzetu hawa yanafanana sana na hapa Tanzania na nashawishika kuamini kuwa huenda hali hapa kwetu ikawa ni zaidi hawa wenzetu, wote tunajua hilo. Sijui ni sababu ya teknolojia au umasikini! Kuna mwenye mawazo zaidi au tofauti?

View attachment 54287

Source: 'Educated women more promiscuous than men'

Graph inaonyesha ni wanawake wenye education ya secondary.

Hii fact unaweza kuiargue kuwa wanawake divorced, unmarried, separated wengi wamepita hadi secondary, so cummulatively inawafanya waonekane waliosoma (secondary for this case unawaita wasomi) ndio wanaotoka zaidi nje ya ndoa.

Siku nyingine do not jump into conclusion kabla hujacheck facts critically.
 
Hii ni kweli kabisa, wakati nasoma chuo nilidhani ni njaa ndo inasababisha lakini baada ya kuanza kazi ndo nikaja kugundua kua kwa wanawake wengi(siyo wote) wasomi hii ni sehemu ya utaratibu wa maisha yao.
 
Graph inaonyesha ni wanawake wenye education ya secondary.

Hii fact unaweza kuiargue kuwa wanawake divorced, unmarried, separated wengi wamepita hadi secondary, so cummulatively inawafanya waonekane waliosoma (secondary for this case unawaita wasomi) ndio wanaotoka zaidi nje ya ndoa.

Siku nyingine do not jump into conclusion kabla hujacheck facts critically.
hizo graph zimeonyesha trend na kumbuka hii ni research na kawaida tafiti yoyote inaacha eneo la wengine kutafiti pia.
Kwa maana hiyo ukitoka level ya secondary kinachofuta ni colleges nk.
About jumping on the matter, you better revise the statement by re-reading the whole article (link) then it will be clear. Remember, I've come across this information then brought it here for the sake of sharing and not offending anybody

% ngapi ya walioenda secondary wanaendelea na masomo ya juu?

Hata kama unashare, kushare false info ni upotoshaji, hasa inapomhusu mwanamke ambaye kila wakati anakuwa intimidated (hebu fikiria, kama mwanamke anatoka nje ya ndoa, anatoka na nani kama si mwanaume: na je hao wanaume anaotoka ni bachelors?).

Huo utafiti ni fake, ulitakiwa ujue hilo kabla hujashare na sio kuja na viconclusion fake.
 
Hili ni kubwa zaidi ya unavyolifahamu wewe,
hali hii inafikia kuleta dharau ndani kiasi cha
kusababisha mmoja kati ya wanandoa kuondoka kabisa yaani kuresti in pisi.

Ukitaka mifano hai ipo.
 
% ngapi ya walioenda secondary wanaendelea na masomo ya juu?

Hata kama unashare, kushare false info ni upotoshaji, hasa inapomhusu mwanamke ambaye kila wakati anakuwa intimidated (hebu fikiria, kama mwanamke anatoka nje ya ndoa, anatoka na nani kama si mwanaume: na je hao wanaume anaotoka ni bachelors?).

Huo utafiti ni fake, ulitakiwa ujue hilo kabla hujashare na sio kuja na viconclusion fake.
% ya wanaoendelea na chuo hapa kwetu bado sio kubwa sana lakini kwa uongezekaji wa vyuo vikuu definitely itapanda miaka michache tu ijayo.
Lakini kumbuka hiyo nchi ambayo huu utafiti (ambao hukubaliani nao) umefanyika wanafunzi wengi wanaotoka sekondari wanaenda vyuoni.
Lakini pia dada Freema Agyeman, wanajamvi wengi mbona wanaonekana kukubaliana na hii tafiti!!? Ndio maana kama una mashaka sana (kama mimi pia) unaweza kui-conduct hapa ili kuona itatoa majibu gani mbali na hayo.

kama uko critical utaona wanaokubaliana na utafiti huu ni wanaume, bisha! So conflict of interest dominates.

Tena unazidi kujicontradict unaposema wanawake hao majority wataendelea na na vyuo, je huo kaka sampling iko biased kwenye walioenda chuo? Nini sample size, assumption na methodology gani imetumika kufanya utafiti na vipi authenticity ya hizi findings?
 
% ngapi ya walioenda secondary wanaendelea na masomo ya juu?

Hata kama unashare, kushare false info ni upotoshaji, hasa inapomhusu mwanamke ambaye kila wakati anakuwa intimidated (hebu fikiria, kama mwanamke anatoka nje ya ndoa, anatoka na nani kama si mwanaume: na je hao wanaume anaotoka ni bachelors?).

Huo utafiti ni fake, ulitakiwa ujue hilo kabla hujashare na sio kuja na viconclusion fake.

Mama naomba leo nikutukane.. Yaani wewe ndio pumba kabsaaa (samahani lakini) umejump into commenting without reading slowly and careful a thread.. Kosa la mtoa thread ni nini.. Ye amebandika utafiti we unasema ni false so neednt to be shared.. Sasa ambacho false ni nini.. Kwamba jamaa ametunga, watu hawakuhojiwa au watu hawakujibu hvyo? Hebu tuwekee na we utafiti wako unaopinga huu..

Pili umemwambia mwenye thread aangalie % ya wanaotoka secondary kuingia chuo.. Sawa hata kama ni ndogo, utaofiti haupo hvyo mama, na huu utafiti haujafanYwa kwa kumfatilia mtu kuanzia darasa la kwanza mpaka anapokuwa chuo. Umefanyika kwa muda mfupi, so walikuwa wanahoji makundi mbali mbali kielimu kwa idadi. Kwamba (sina uhakika, ila ni kutokana na matokeo ya utafiti kama umeelewa) kama ni primary wanahoji watu 100, sekondari 100 n.k.. Sio kwamba idadi itakayohojiwa basi waasume si yote itakayofika chuo.. La hasha..

Funguka mama!
 
kweli 100% wanawake wasomi wengi ndio malaya kuliko wasio na elimu na wanajiuza ki-professional zaidi kuliko hao wasio na elimu
 
Mama naomba leo nikutukane.. Yaani wewe ndio pumba kabsaaa (samahani lakini) umejump into commenting without reading slowly and careful a thread.. Kosa la mtoa thread ni nini.. Ye amebandika utafiti we unasema ni false so neednt to be shared.. Sasa ambacho false ni nini.. Kwamba jamaa ametunga, watu hawakuhojiwa au watu hawakujibu hvyo? Hebu tuwekee na we utafiti wako unaopinga huu..

Pili umemwambia mwenye thread aangalie % ya wanaotoka secondary kuingia chuo.. Sawa hata kama ni ndogo, utaofiti haupo hvyo mama, na huu utafiti haujafanYwa kwa kumfatilia mtu kuanzia darasa la kwanza mpaka anapokuwa chuo. Umefanyika kwa muda mfupi, so walikuwa wanahoji makundi mbali mbali kielimu kwa idadi. Kwamba (sina uhakika, ila ni kutokana na matokeo ya utafiti kama umeelewa) kama ni primary wanahoji watu 100, sekondari 100 n.k.. Sio kwamba idadi itakayohojiwa basi waasume si yote itakayofika chuo.. La hasha..

Funguka mama!

mbumbumbu kabisa wewe, cha kudandia treni kwa mbele. Lete hoja acha viroja you male male chauvenist.
 
Huu utafiti umeupata wapi? Maana kwa mazingira ya Kitanzania, naona kama sisi vidume ndo .... kama vile!!!
 
Back
Top Bottom