Hawaogopwi na yeyote, ila baadhi yao wanataka kuogopwa na kuonwa kimtazamo tofauti na wanawake wengine, baadae hataki hata kuambia lolote yani wote mnakua wanaume kila mtu anatoa maamuz yake hiko ndio kinawaweka mbali na wanaume.
Si kweli...
Kuna kina Mama Blair, Mama Obama, Mama Zakhia Meghji, Mama Ummy Mwalimu, Mama Makinda, Mama Migiro, Mama Kairuki, Mama Mange! Wengi sana aise...
Wengi tu mbona! tatizo kuna wale wachache, waliosoma, wana kazi nzuri, wale wakorofi, wale dharau, ndio maana wanaisha kupigwa bakora na kuzalishwa na kuishi peke yao..
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.